BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,214
- 4,170
Mapokeo tu! Kiumbe chochote kikishakufa, kimekufa! Tuliaminishwa tu hivyo, na Sio kweli...Habari za muda huu wana JF?
Leo katika pitapita zangu kuna sehemu nimekuta kuna nyoka ameuliwa.
Lakini kilichonifikirisha ni baada ya kuuliwa walimkata kichwa alafu wakakifukia na kiwili wili wakaenda kukitupa barabarani
Sababu kuu ni kufanya asijiunge
Sasa kwa wenye uelewa naomba kuuliza ni kweli nyoka huwa wanajiunga au ni imani za watu??View attachment 2141218
