Nostradamus
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 392
- 6
Hawa jamaa tungeachana nao bana.
Tumewazungumzia sana hadi nahofu kama tunawapandisha chati flani.
Please wana jamvi tuwapotezee.
CLOUDS FM is the best FM station in the country(msibishe).... haina watangazaji bali ina DJs,dhamira yao sio kukosoa wala kuelimisha bali ni kuburudisha.wafanyakazi wote ni wasanii na walenga fedha..amini hata ushoga wanaweza kufanya kama utatangaza dau la fedha.
kwao maisha ni burudani tuuuuuuuu na kujirusha,afterall... hiyo ndio hulka ya vijana wetu wa kizazi hiki.kupenda burudani na kujirusha tuuu na ndio maana CLAUDS FM IS THE BEST FM STATION IN TZ