Ni kweli Muhammad aliwahi kulogwa?

Ni kweli Muhammad aliwahi kulogwa?

Yesu alipigwa mijeledi, alibebwa na shetani kuonesha utajiri shetan aloahid kumpa, alipgwa misumar msalaban

HIvi Kuna nabii ambaye hakujalibiwa? Kama yupo mtajeni au ukiwa kafiri na kufiri kwaki kuniishia kanisani ukiwa umeingiwa na roho mtakatifu?
 
Mnakuza mambo mbona hata biblia inasema kuna watumishi wa Mungu walitupiwa majini na kuponywa.

Katika kitabu cha Tobiti, Mungu anamtuma malaika Rafaeli ili awaponye wote wawili: Tobiti na Sara (Tobiti 3:17). Kwa upande wa Sara, uponyaji wake ulikuwa ni kuachiliwa huru kutoka kwa pepo mchafu, na sio ugonjwa wa kimwili.

Simulizi hilo linaendelea hivi:

· Tobiti 6:16–18: Rafaeli anamwambia Tobia asimwogope yule jini, na amwambie jinsi ya kumfukuza kwa kutumia moyo na ini ya samaki. Anamwambia, “Basi yule jini ataisikia harufu yake na kukimbia, wala hatakuja tena kamwe” (Tobiti 6:18).
· Tobiti 8:1–3: Baada ya harusi, Tobia anafanya kama Rafaeli alivyomwagiza. Anachoma moyo na ini ya samaki, na moshi wake unamfukuza yule jini, ambaye anakimbilia Misri. Kisha, Rafaeli anamfuata na kumfunga yule jini (Tobiti 8:3).
 
Yesu alipigwa mijeledi, alibebwa na shetani kuonesha utajiri shetan aloahid kumpa, alipgwa misumar msalaban

HIvi Kuna nabii ambaye hakujalibiwa? Kama yupo mtajeni au ukiwa kafiri na kufiri kwaki kuniishia kanisani ukiwa umeingiwa na roho mtakatifu?
Hawa wamejifungia ndani ya box si ajabu hata hiyo biblia hawaisomi vizuri
 
Back
Top Bottom