SINA JINA1
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 391
- 151
Kama kuna mtu ana taarifa za kuibuka ghafla kwa huyu bwana kuwa mmiliki wa biashara hizi tafadhali atoe taarifa humu jamvini. Kwa uchache inasemekana kuwa huyu bwana anayejulikana kwa jina la Maarifa anamiliki biashara za Mh. Mkulo kanda ya kusini hususani mkoa wa Mtwara. Anamiliki Makonde Beach ( Eneo la police mess)-Mh. Jk alipoenda Mtwara alipatiwa chakula cha mchana pale ilishhangaza watu kwani sehemu yenyewe ni kama Bar/Club. Pia anamiliki kituo cha Radio huko Mtwara pamoja na kampuni ya kutengeneza mineral water.
Pia kupitia kampuni ya mkononi huyu bwana waliweza kupata malipo ya pembejeo za korosho zaidi ya milioni 200 (Uchunguzi wa malipo hayo na kwa baadhi ya wahindi wengine waliolipwa fedha bila kusambaza pembejeo unaendelea kwani CAG aliagizwa afanye kazi hiyo).
Nawasilisha.