Ni kweli Mh. Mkulo anamtumia Maarifa kwenye Investment zake huko Mtwara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli Mh. Mkulo anamtumia Maarifa kwenye Investment zake huko Mtwara?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SINA JINA1, May 22, 2012.

 1. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu ana taarifa za kuibuka ghafla kwa huyu bwana kuwa mmiliki wa biashara hizi tafadhali atoe taarifa humu jamvini. Kwa uchache inasemekana kuwa huyu bwana anayejulikana kwa jina la Maarifa anamiliki biashara za Mh. Mkulo kanda ya kusini hususani mkoa wa Mtwara. Anamiliki Makonde Beach ( Eneo la police mess)-Mh. Jk alipoenda Mtwara alipatiwa chakula cha mchana pale ilishhangaza watu kwani sehemu yenyewe ni kama Bar/Club. Pia anamiliki kituo cha Radio huko Mtwara pamoja na kampuni ya kutengeneza mineral water.

  Pia kupitia kampuni ya mkononi huyu bwana waliweza kupata malipo ya pembejeo za korosho zaidi ya milioni 200 (Uchunguzi wa malipo hayo na kwa baadhi ya wahindi wengine waliolipwa fedha bila kusambaza pembejeo unaendelea kwani CAG aliagizwa afanye kazi hiyo).

  Nawasilisha.
   
 2. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ngaja tupate hizo taarifa unazotoa kama zina ukweli ama ni udaku.com
   
 3. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hariri post zako acha haraka inatuonyesha wewe ni mtu wa aina gani.

  Halafu hata kama Rais amekula Bar wewe inakuhusu nini?
   
 4. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ARE THOSE ROMOURS?
  intelligence officers are needed here to resolve this enquiry.
   
 5. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Umetumwa si bure.
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mods nona hii ni UDAKU na UMBEYA.

  Nimebainisha hilo kwani hata kama mtamsoma mtoa Mada hana uhakika wa kile anachotaka kutujuza jamii. Na mbaya zaidi ametumia jina la Mtu binafsi bila kutuwekea CV yake huyo mtu kuwa ametokea wapi kielimu na kibiashara na ana connection kiasi gani na Mh Mkulo mpaka kumpa deal lote hilo la Biashara.

  Kwa ninavyojua na uzoefu wangu mkubwa sana wa Biashara inaonekana kama FITNA za mtoa mada kwa huyo mfanya biashara alieaibuka huko Mtwara. Mtoa mada anatakiwa kujua kuwa kuna Bank zinazotoa mikopo kwa wafanabiashara wadogo na wa kati na kama utatumia vizuri mikopo hiyo basi kuna fursakubwa kuendelea.

  Na kwa Tanzania, Mtwara ndio sehemu nzuri sana kwa mfanya biashara mdogo kuweza kuibuka kwa sababu ya fursa nyingi sana zilizopo.

  Kama hu msema kweli tupe CV ya huyo mtu na kibiashara ametokea wapi kisha tumjadili.

  Otherwise utakuwa umesima uwongo. Au tuite itakuwa chuki za kuchukiana waTanganyiaka wenyewe kwa wenyewe na kuamini kuwa kila mali lazima zimilikiwe na wazungu, waarabu na wahindi. Akimiliki mswahili basi Nongwa na fitna zinaanza.

  Nashauri Mods iondoeni haraka mada hii. Kwani ina impact kubwa sana kisharia kwani aliyesemwa hana uwezo wa kuweza kujisafisha hapa na si maarufu kivile kiasi cha wengi kuweza kumjua.
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  leta taarifa wala sio fununu za taarifa. dhibitisha usemi wako
   
 8. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Tumechoshwa na taarifa za mkulo humu, inaonekana kuna watu wanachuki binafsi na mkulo, tunasubiri takukuru watudanyane au watupe ukweli kwa watayoona.Ingawa riport ya CAG ilitosha kumaliza mada kwa kusweka watuhumiwa segera kwanza then kufungua kesi.Mleta mada hana tofauti na takukuru ya hosea porojo tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 9. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii habari imekaa kitetesi tetesi, kama CAG kaambiwa afuatilie tusubiri matokeo yako.
   
 10. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kuna kazi humu kwa sasa
   
 11. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anatumia kodi yangu . Halafu mbona mada inajieleza ungesubiri kwanza wenye uelewa ndio wakujuzwe nawe ndio uchangie
   
 12. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe na nani?
   
 13. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hujaelewa nilichoandika ,mbona nimeuliza swali nawe unauliza swali badala ya kujibu swali!
   
 14. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nimeuliza swali?
   
 15. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nimeuliza swali mkuu wa kambi.
   
 16. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Kwani ni suala la kuuliza hilo, uliza kwa mtu yoyote aliyefanya NSSF enzi za Mkulo utajua nini kinaendelea.
   
 17. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa inawezekana alikuwa hatari zaidi ya EL
   
 18. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mwaka huu tutasikia mambo mengi sana kwenye tasinia yetu ya SIASA! Mengi sana bado yanakuja, tunayasubiri kulisha maisikio yetu. Kwamba ni mabaya au mazuri yanatokana na mitazamo yetu tu.
   
 19. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2014
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Maarifa mimi amamwingine ?
   
Loading...