Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,318
- 129,596
Sasa kama chadema wanawaficha, c muwakamate hao chadema ili muwapate wote kwa pamoja, mfichaji na mfichwajiTatizo hata pale polisi wanapokaribia kuwakamata wahusika, basi chadema huwaficha Ili ionekane serikali haifanyi kazi. Hilo ndilo tatizo.