Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,509 17,382 Jun 6, 2021 #41 K.Msese said: mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri.. ijapo sio wote though mwinyi ali hassan, kikwete now samia namkumbuka prof Assad pia, hiki chuma kwann wasikipangie majukumu mengine? Click to expand... Katiba inamzuia kuajiriwa tena ....wala kuteuliwa sehemu yeyote serikalini labda private
K.Msese said: mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri.. ijapo sio wote though mwinyi ali hassan, kikwete now samia namkumbuka prof Assad pia, hiki chuma kwann wasikipangie majukumu mengine? Click to expand... Katiba inamzuia kuajiriwa tena ....wala kuteuliwa sehemu yeyote serikalini labda private
Mokobe JF-Expert Member Sep 25, 2020 1,249 1,529 Jun 6, 2021 #42 kila mztu atauchukua mzigo wake mwenyewe kila mtu atatoa habari zake mwenyewe mbele za mungu na siku hiyo inakuja
kila mztu atauchukua mzigo wake mwenyewe kila mtu atatoa habari zake mwenyewe mbele za mungu na siku hiyo inakuja
F FUSO JF-Expert Member Nov 19, 2010 31,637 37,850 Jun 6, 2021 #43 Wayasweke tu, yalitesa na kuua watu wasio na hatia kisa siasa !!
K kyata JF-Expert Member Jun 20, 2015 2,532 2,492 Jun 6, 2021 #44 FUSO said: Wayasweke tu, yalitesa na kuua watu wasio na hatia kisa siasa !! Click to expand... Kisa tamaaa na ulevi wa madaraka
FUSO said: Wayasweke tu, yalitesa na kuua watu wasio na hatia kisa siasa !! Click to expand... Kisa tamaaa na ulevi wa madaraka
TASK FORCE JF-Expert Member Apr 7, 2017 2,466 3,456 Jun 6, 2021 #45 Meneja Wa Makampuni said: Makonda hawatamweza, nawahakikishieni wakuu. Click to expand... ana kipi hadi hasiwezekane??? ana kesi ya kumteka MO na za mahuaji
Meneja Wa Makampuni said: Makonda hawatamweza, nawahakikishieni wakuu. Click to expand... ana kipi hadi hasiwezekane??? ana kesi ya kumteka MO na za mahuaji
K K.Msese JF-Expert Member Apr 1, 2012 2,385 3,012 Jun 6, 2021 #46 Lambardi said: Katiba inamzuia kuajiriwa tena ....wala kuteuliwa sehemu yeyote serikalini labda private Click to expand... ibadilishwe tu hiyo katiba hasa hilo eneo, mbona ilikuwa inawezekana kubadili rais aongoze bila kikomo? yaani unaacha kitu hadhimu kipotee kisa katiba kwa kipengele kinachoweza badilishwa? peleka muswada bungeni, badilisha kwa hati ya dharura mpe kitengo..
Lambardi said: Katiba inamzuia kuajiriwa tena ....wala kuteuliwa sehemu yeyote serikalini labda private Click to expand... ibadilishwe tu hiyo katiba hasa hilo eneo, mbona ilikuwa inawezekana kubadili rais aongoze bila kikomo? yaani unaacha kitu hadhimu kipotee kisa katiba kwa kipengele kinachoweza badilishwa? peleka muswada bungeni, badilisha kwa hati ya dharura mpe kitengo..
Cannabis JF-Expert Member Jan 20, 2014 8,943 25,284 Jun 6, 2021 #47 Mara ya mwisho niliona picha yake akiwa anajipatia mlo wake🤸🐒🤣
Son of Gamba JF-Expert Member Oct 26, 2012 4,358 6,077 Jun 6, 2021 #48 Hii nchi imejaa wanafiki wengi sana.
ismail hassan JF-Expert Member Jul 16, 2017 685 1,612 Jun 6, 2021 #49 K.Msese said: mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri.. ijapo sio wote though mwinyi ali hassan, kikwete now samia namkumbuka prof Assad pia, hiki chuma kwann wasikipangie majukumu mengine? Click to expand... Asad yupo zake Muslim university of Morogoro katulia tu..ni DVC finance..Nilikutana nae Jana. Sent using Jamii Forums mobile app
K.Msese said: mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri.. ijapo sio wote though mwinyi ali hassan, kikwete now samia namkumbuka prof Assad pia, hiki chuma kwann wasikipangie majukumu mengine? Click to expand... Asad yupo zake Muslim university of Morogoro katulia tu..ni DVC finance..Nilikutana nae Jana. Sent using Jamii Forums mobile app
Mhujumu Uchumi JF-Expert Member Sep 14, 2014 1,575 3,515 Jun 6, 2021 #50 mkorinto said: dose dose. tamthiria hii iko mwanzo kabisaa. Click to expand... Askari mdogo Shona utulie ushuhudie vile mama anavyolenga range majambazi washirika wa mwendakuzimu.
mkorinto said: dose dose. tamthiria hii iko mwanzo kabisaa. Click to expand... Askari mdogo Shona utulie ushuhudie vile mama anavyolenga range majambazi washirika wa mwendakuzimu.