Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?

mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri..
ijapo sio wote though

mwinyi ali hassan, kikwete now samia

namkumbuka prof Assad pia, hiki chuma kwann wasikipangie majukumu mengine?
Katiba inamzuia kuajiriwa tena ....wala kuteuliwa sehemu yeyote serikalini labda private
 
kila mztu atauchukua mzigo wake mwenyewe
kila mtu atatoa habari zake mwenyewe mbele za mungu
na siku hiyo inakuja
 
Katiba inamzuia kuajiriwa tena ....wala kuteuliwa sehemu yeyote serikalini labda private
ibadilishwe tu hiyo katiba hasa hilo eneo, mbona ilikuwa inawezekana kubadili rais aongoze bila kikomo?

yaani unaacha kitu hadhimu kipotee kisa katiba kwa kipengele kinachoweza badilishwa?

peleka muswada bungeni, badilisha kwa hati ya dharura mpe kitengo..
 
Mara ya mwisho niliona picha yake akiwa anajipatia mlo wake🤸🐒🤣
20210530_113304.jpg
 
mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri..
ijapo sio wote though

mwinyi ali hassan, kikwete now samia

namkumbuka prof Assad pia, hiki chuma kwann wasikipangie majukumu mengine?
Asad yupo zake Muslim university of Morogoro katulia tu..ni DVC finance..Nilikutana nae Jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom