Huo ni uzushi tu!!, wenye lengo la kutuvuruga sisi Wakatoliki Lkn MUNGU Mwenyewe atatupigania,wataaibika Sana.Kama Kiongozi Mkubwa kabisa wa Wakatoliki, ameamua kuwa Shetani, Wakatoliki si wamtoe roho tu? Wanasubiri nini?
Hujui kitu chochote wewe, unaongea tu.Yesu Kristo hakuacha dini hapa duniani,kumbuka enzi zake hapa duniani dini zilikuwepo ie mafarisayo,masadukayo na waandishi. Yesu aliacha kanisa takatifu ( lililookoka ),Petro na wanafunzi wengi sio wale thenashara tu wanaofahamika na dini walikuwa ni watu WALIOOKOKA wakijaa Roho Mtakatifu, hakuacha dini wala dhehebu( kumbuka Roma na watawala wake wa kidini walikuwepo) Hakuna mtu wa dini atakaye iona mbingu 1 Petro 1:16 "mtakuwa watakatifu kwa kuwa Mimi ni mtakatifu" waebrania 12:14 "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo UTAKATIFU ambao hapana mtu atamwona Mungu ( Bwana ) asipokuwa nao.?
OK!!!, Asante kwa kutukumbusha.Jaman hii thread ni ya 2012 msije mkasahau so labda alieanzisha atuko nae tena?? maana huo mwaka ndo neno freemason lilienea TZ After kifo cha Kanumba
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums![]()
Papa Benedict XVI.
KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Joseph Aloisius Ratzinger Papa Benedict XVI, ameushtua ulimwengu, ishara ya vidole na mikono wakati wa kutoa salamu katika picha zilizotundikwa mitandaoni, vimefananishwa na alama za Jamii ya Siri (Secret Society) inayoitwa
Freemasons.
Zipo taarifa kuwa Freemasons kwa sehemu kubwa wanamuabudu Shetani (Jini Mkuu) anayeitwa Lucifer ndiyo maana imekuwa ikiitwa Dini ya Shetani.
Wachambuzi wa mambo ya Freemasons wanaeleza kuwa jamii hiyo ya siri inapiga vita Uislam na Ukristo hali ambayo imeibua mshtuko baada ya picha hizo kumuonesha Papa Benedict akitumia alama za watu ambao ni maadui wa madhehebu anayoyaongoza.
![]()
Picha zilizoibua maswali na mshtuko, moja inamuonesha Papa akiwa anatoa salamu ya vidole ambavyo amevitengeneza kama pembe ya mbuzi, nyingine akiwa anapeana mikono na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Tony Blair.
Inadaiwa kuwa mtindo wa kupeana mikono walioutumia Blair na Papa, si wa kawaida, kwani mara nyingi hutumiwa na memba wa Freemasons wanaposalimiana au kupongezana.
MASWALI TATA
Kutokana na picha hizo za Papa, imeibuka mijadala mingi mitandaoni kuhusu imani ya kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki lakini mwisho kumekuwa na maswali matano ambayo yamekosa majibu:
MOSI: Papa Benedict ni Freemason?
PILI: Ni mfuasi wa jamii inayopingana na maono ya kanisa analoongoza?
TATU: Kama siyo Freemason, je, anawakubali na kuwasapoti?
NNE: Je, alitoa salamu bila kujua maana yake?
TANO: Papa alitumia salamu hiyo kumkejeli Shetani ambaye ndiye mkuu wa Freemasons?
![]()
George W. Bush.
WAKATOLIKI WALAANI
Kwa mujibu wa maelezo ya watu ambao wamejipambanua kwamba ni waumini wa madhehebu ya Kanisa Katoliki, picha hizo zenye ishara ya vidole vya ki-Freemasons, zimetengenezwa kwa lengo la kuwafanya Wakatoliki watilie shaka mwenendo wa kiongozi wao.
Rahel Ratzega aliyejitambulisha kuwa ni Mkatoliki, raia wa Sweden alisema wakati anachangia habari ya Papa na vidole vya ki-Freemasons: Mimi ni mtaalamu wa kompyuta, picha ya Papa imewekewa vidole vya mfuasi wa Freemasons ili kutuchafua Wakotiliki.
![]()
Hillary Clinton.
Mimi na Wakatoliki wenzagu wa kanisa letu la Nytorv Square tumelaani hili, tumeujua ukweli kwamba picha ya Papa imetengenezwa. Tunaamini Freemasons ndiyo waliotengeneza ili kuwafanya Wakatoliki waone kiongozi wao ni mfuasi wa imani zenye mrengo wa Shetani.
Tunamuamini Mungu, Shetani hayupo na sisi. Freemasons ni maadui wa Wakatoliki.
Kuhusu picha ya Papa kushikana mikono na Blair, imeelezwa kuwa kiongozi huyo alitegwa.
Margaret Ryan, aliyejitambulisha kuwa ni Mkatoliki anayesali kanisa lililopo Newington, London, England, alisema: Tunamtambua Blair ni Freemason, kwa hiyo alichokifanya ni kumtegea mkono Papa.
Papa siyo Freemason, Blair alimfanyia usanii Papa, akampa mkono kwa mtindo wa Freemason, bila kujua Papa naye akakubali mkono wake kumbe kwa mwenzake hiyo ina maana kubwa.
Blair ni mmoja wa waumini wa Freemasons wenye digrii za juu kabisa, hata ule mtego wake kwa Papa haukuwa wa hivi hivi, lengo lake lilikuwa ni kuukejeli Ukatoliki kwa sababu Blair mbali na Freemason pia anaabudu Anglikana.
Hata hivyo, wamiliki wa mtandao uliochapisha picha hizo walisisitiza kuwa ni halisi na hazifanyiwa utundu wowote wa kikompyuta.
![]()
Bill Clinton.
FREEMASONS INAZIDI KUPATA UMAARUFU
Hivi karibuni Freemasons imekuwa ikipata umaarufu mkubwa huku watu wakifurika huko na wasiojua chochote juu ya dini hiyo wameendelea kusaka kuijua kiundani.juma: NI KWELI KWAMBA PAPA NI FREEMASON?

Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsMasheikh sijapata nikipata nitaiweka hapa ila kuna Ma Rais karibu wote wa dunia ni Ma FreeMason Mkuu
hichi chama kikubwa sana dunia ndio kinachoongoza dunia huwezi kuwa Mtu Maarufu mpaka ujiunge nacho hichi Chama. Ma Star wote wa
Dunia ni Wanachama wa Hichi chama, Matajiri wakubwa wa dunia ni Wanachama wa hichi chama mimi na wewe tu ndio sio wanachama wa hichi chama ehhh kasheshe kweli dunia inatawaliwa na shetani mkuu Lusifer Blaine
![]()
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsAcheni kutudanganya na mambo yenu ya kifreemason kila ou kicha ni abari za kifreemason ndizo ziko kinwani mwenu sasa kwa tarifa yenu akunaga vya kifreemason wala nini acha ni kupe uhakikisho sasa kama akunaga freemason wala nini
1 wanasemaga ukiwa freemason uta kuwa tajiri ilo sija likataa lakini ukichunguza kwa undani ni wongo mtupu wenzenu aho munao wazushia usiku kucha wako midomoni mwenu wana tumika kazi zao usizani eti wana pewa pesa na freemason kwa imani yenu ya kijanga muna zani kuwa tajiri au kupata pesa ni Lazima uwe freemason pumbavu zenu kabisa
2 muna semaga kuwa freemason ni LAZIMA uwe na ujuzi wa kitu fulani kama wanavyo sema watu eti wana sayansi wote duniani ni wa freemason mbona afrika sija wai kusikia mwana sayansi fulani kavumbuwa kitu fulani kwani freemason ya afrika ni ya kuhuwa tu? Sio kupana ujuzi ? Ata Diamond pia na sikia watu wana sema eti ni freemason kwani amuoni anavyo angaika na kazi yake usiku kucha? Kama kweli freemason ndo wana pana pesa wewe nenda kuomba pesa uone kama wata kupa nazo zidi ya kupewa makofi tu
Tujitume jamani maswala ya freemason ayo ya fute akilini wanawadanganya bure