Ni kweli kuna mwanamke anayefaa kuwa mke wa mtu yeyote(Wife Material)?

Ukitaka Wife material, awe mweupe na ana tako ni ngumu kidogo maana hao ni watu watatu tofauti.

Ila kama utataka wife material tu bila kuangalia mambo mengine hao watu wapo na ni common YES maana wife material ni tabia, utamaduni na urithi wa mafunzo kutoka kwa wife materials wa zamani(malezi ya wazazi na walezi).
Umeleta kitu hapa Wife Material ni tabia na hakuna mtu hapendi tabia nzuri
 
The first born, nadhani kila mtu ana tafsiri yake ya wife material, lakini mimi kwa mchango wangu katika hii mada nakwenda na hii hadithi hapo chini.
The Prophet (ﷺ) said, "A woman is married for four things: for her wealth, for her lineage, for her beauty or for her piety. Select the pious, may you be blessed!".
Mke mwenye hofu ya Mungu mara nyingi huwa wife material, lakini pia hata mume awe mwenye hofu ya Mungu, na hofuya Mungu haijalishi imani yako, wasiyokuwa na dini hao wanaweza kuchagua mke kwa utajiri wake au nasaba yake au uzuri wake.
Mawazo mazuri mkuu..Hofu ya Mungu kitu Mhimu hata kama mwanaume utakua mhuni vipi hili lakuzingatia sana.
 
Ewaaaah very good Ila umesahau hivi mkuu
Mwenye hofu ya Mungu
Muaminifu
Mwenye utu
Asiyejisikia na kuona wote tuko kwenye one level ya maisha
Mwenye hofu ya Mungu mbona nmeandika.

Utu ipo ndani ya Upendo maana bila upendo hamna utu.
Level ya maisha iweke ndani ya Director na manager mzuri
 
Ukielewa nnachokiongea utapata.

Unapotafuta pia tuliza akili, usitangulize past experience kwenye mahusiano mapya.
Muombe Mungu akujalie upate mtu ambae moyo wake haujafunga maumivu.
Maana maumivu (Kumbukumbu mbaya) ndio zinawabadili wanawake wengi kuwa kama walivyo unapokutana nao.

Unaweza kupata free soul aliewekwa kwa ajili yako usiwaze kabisa
Ifikie hatua hili Jukwaa liitwe La Mahusiano Plus Intelligent
 
Messi is playing against Real Madrid first time ever without Barca!!!
 
Hao wife material wapo shida ni kuwa waoaji ndio tunaweka vigezo vya malaika unasahau kuwa unaenda kuoa binadamu mwenzio.
 
Kwani swala la Wife Material na Uzuri tuna Include Mkuu?

Nimetolea mfano kwenye uzuri ili upate concept ya wife material

Kwenye uzuri kuna vitu tunaangalia hivyohivyo kwenye wife material kuna vitu tunaangalia.

Ht km mwanamke sio type yako ile kuna standards Za wife material zinajulikana
 
Back
Top Bottom