Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,059
Asante sana Mkuu Shaka-Zulu nimefaidika na kuongeza maarifa kwa post yako hiiMkuu, kupima akili (intelligence) ya mtu ni kazi ngumu. Mmoja ya sababu ya ugumu ni kwamba kuna aina nyingi ya intelligence :-
General Intelligence - akili ya kawaida - logic, kumbukumbu, hesabu, uelewa, nk - hii inawezwa kupimwa na IQ;
Emotional Intelligence - hisia, kufahamu mbaya na nzuri; kuishi vizuri na watu, nk (score yako kwenye hii itakuwa ya juu sana);
Artistic Intelligence - kuchora, kuandika, kuimba nk;
Spatial Intelligence ya kufahamu mazingira - mtu unamzungusha Kariakoo mara ya kwanza, na anapafahamu vizuri, na mtu mwingine (kama mimi) unamzungusha mara hamsini na kila mara anapotea.
Kwa sababu ya akili kuwa ya aina nyingi na tofauti, kupima kwa standard mmoja haiwezekani.
Halafu akili inaweza kubadilika na mazingira, wakati, nk - mtu mwenye akili timamu, kaamka vibaya na kufanya vituko, au kakutana na jamaa, kachafuliwa akili na kuanza kuropoka (temporary insanity)!
Wanasema kwamba ubongo wa Einstein imehifadhiwa na inachunguzwa kutafata siri ya akili yake. Binafsi naona hii kama matumizi mabaya ya bongo la Einstein, yaani hata baada ya kufa watu wamemandama! Asante and have a nice weekend, mkuu Zakazaka!
Manengelo umenichekesha hadi maji niliyokua nakunywa yamenipalia aiseeNadhani vinatakiwa viwepo...maana hebu mchukue mbunge Msukuma au Ndugai au Lugola..hawa vipimo vyao lazima vipite kwa Mganga mkuu wa serikali..naamini ubongo wao lazima waufanyie cultureπ ...
Manengelo umenichekesha hadi maji niliyokua nakunywa yamenipalia aisee
Hapo itakua na tafsiiri mbili ujue, ama Mfalme Nebkadreza unaemsema atakua na akili nyiingi sana kupitiliza hadi mashine inashindwa kusoma au atakua ziro kabisa hadi mashine inamshangaa! Na hapo itahitaji sasa mabingwa kwa kusoma hicho kipimo wajue wamuweke kwenye kundi gani kati ya hayo mawiliππππpole mkuu nahis siku marais wa Africa wakipimwa bongo zao matokeo ya Mfalme Nebkadreza yatatoa ERROR...!πβ..au komputa itacolapse
Hapo itakua na tafsiiri mbili ujue, ama Mfalme Nebkadreza unaemsema atakua na akili nyiingi sana kupitiliza hadi mashine inashindwa kusoma au atakua ziro kabisa hadi mashine inamshangaa! Na hapo itahitaji sasa mabingwa kwa kusoma hicho kipimo wajue wamuweke kwenye kundi gani kati ya hayo mawili
Hahahaaa usije ukamtapika tu. Naskia watu wa aina hiyo wanazaliwa kwa nadra sana duniani! Eti mmoja katika kila milioni 250! unakubaliana na hoja hiyo hasa kwa kumtazama huyo Mfalme wako Nebkadreza?πππππ€π€wtamrefer Sauzi kwa matokeo zaidi..arghhh kichefu chefu tupu
Hahahaaa usije ukamtapika tu. Naskia watu wa aina hiyo wanazaliwa kwa nadra sana duniani! Eti mmoja katika kila milioni 250! unakubaliana na hoja hiyo hasa kwa kumtazama huyo Mfalme wako Nebkadreza?
Hahahaaa, kuumbee!!!ah wap ww..huyu hayumo miongoni mwa hao watu..nasema hayumo..huyu hata Sipunda anamshinda kw ugenius
Hahahaaa, kuumbee!!!
Hahahaaa inawezekana watu wenye rangi nyeusi walikimbilia kupata brandi nyuu?Kuna watu ukiwaambia nikupe chemsha bongo, wanadhani unaongea supu!
Kwenye hoteli fulani, palikuwa panauzwa bongo la mjerumani, mchina na 'mheshimiwa fulani'! Bongo ya mjerumani ilikuwa na bei nafuu sana, ya mchina, wastani na ya mheshimiwa bei kali sana! Alipoulizwa sababu ya tofauti kwenye bei ya bongo yaliyofanana, mwenye hoteli akajibu, "Bongo la mjerumani imetumika sana, kwa hiyo bei ni kama ya chuma jakavu. Bongo la mchina, imetumika wastani na kwa hiyo ina bei ya second hand. Bongo la mheshimiwa haijatumika hata kidogo, na kwa kuwa it is as good as brand new, ina bei ya juu kabisa!"
Sasa hebu nisaidie jambo moja mamii(I presume you are a lady), huyo Mfalme wako Nabkadreza ana control kila kitu kuanzia watu wanaomuunga mkono anawaburuza atakavyo, wanaompinga anawabana hawafurukuti, anakaa na fedha yote ya ufalme wake na kuitumia atakavyo bila kufuata mipango iliyowekwa na baraza la kutunga sheria za kwenye falme yake, upendeleo wa ndugu zake n.kπππSipunda genius best sema tu amezid ukomedi
Sasa hebu nisaidie jambo moja mamii(I presume you a lady), huyo Mfalme wako Nabkadreza ana control kila kitu kuanzia watu wanaomuunga mkono anawaburuza atakavyo, wanaompinga anawabana hawafurukuti, anakaa na fedha yote ya ufalme wake na kuitumia atakavyo bila kufuata mipango iliyowekwa na baraza la kutunga sheria za kwenye falme yake, upendeleo wa ndugu zake n.k
Wananchi wake wapo kiiimya kabisa na kunawanaomuimbia mapambio, huoni kua Mfalme huyo ni genius akili kubwa hasa ukizingatia ufalme wake unawatu mamilion meengi na miongoni mwao kuna wasomi waliobobea kwa kila fani na wote amewa control?
Dah! Kazi ipo kwakweli, ni hatariππMie na uhenga huu nilionao naamini kbs tatizo kubwa kabisa kwenye ile nchi ya mfalme Nebu..tatizo ni watu wakaao mle..!walishazoea ujamaa na vitu kama hizo..woga wenye hof tu ya vita..!ndio maana mfalme ameshajua weakness yao basi hakuna wa kufurukuta..
Nadhan anataka kufanana na mfalme Herode wa kwenye biblia..!ila iko siku utawala wake utapinduliwa tu na falme itashikwa na wabarikiwa (wenye akili)..!sasa hv kisiwa kile wanaishi kwa hofu na uvumilivu mkubwa mno mno!..naifananisha na ile muvie ya miaka ileee inaetwa Escaping from Sobibor!
π π π hivi tukisema na yule Masilingi apimwe akili jaman ππππ...πππππππππππππ..ataandikiwa dawa za kumeza kwa miaka 10 mfululizo..mxiewwww