Ni kweli kuna kipimo cha kujua utimamu wa akili ya mtu?

Hakuna mfalme mwenye akili kubwa kama huyo kuwahi kutokea kwenye ile falme. Anacontrol kila kitu,mpaka akili za watu wake wote.
Maana inahitaji akili kubwa kudhibiti akili kubwa, sasa bado najiuliza kwa vipimo vya akili mfalme wetu sio genius huyu?

Kipi ni kipimo cha akili?
 
Mkuu kwani unataka kupima uwezo wa akili ama kama dishi limeyumba???:D:D:D:D maana hivi ni vitu viwili tofauti
Vyote viwili Rebeca 83 , inawezekana kipimo cha uwezo wa akili kinapimwa kama wale wanaotaka kujua IQ ya mtu, lakini kama dishi limeyumba ndio kimbembe hapo, hua wanapimaje? Na wengine dishi likiyumba sio lazima aokote makopo au akojoe hadharani ila mambo anayofanya mengine yanakua sio ya kawaida

Sasa kutaka kujua huyo mtu hajifanyishi(maana wengine hutakiwa kupimwa kwa amri ya mahakama) ni kifaa gani hutumika?
 
Back
Top Bottom