Wana Jf,
Mie ni mgeni hapa. Naomba nitumie nafasi hii kwa malengo mawili makubwa. Moja ni kubisha hodi ili wenyeji mnipokee na kunionyesha njia. Pili ni kuwakilisha mada inayohusu hicho kichwa cha habari kama ifuatavyo.
Kuna imani kubwa katika jamii na ni mara nyingi nimekuwa nikisikia watu wakiongea kwa wakati na mahali mbali mbali kuwa asilia kubwa ya wanawake wazuri hawaolewi.
Mie sielewi kama ni kweli ama ni uongo. Nawasilisha kwenu wadau mnipe mawazo yenu kama mnakubaliana ama kukataliana na hili.
Nawapenda nyote,
Asanteni.

Ni kweli kabisa;
Na wakiolewa huwa hawadumu kwenye ndoa;
Na wakidumu ujue kuna madawa ya kufa m2.
nazi haiwezi shindana na jiwe !!!
kakuonesha mimi au mdogo wangu mdogo wangu hakai huko kgahaha..nazi ndo wewe sio!??
muoneee...Ngowi ashanionyesha btw!!!
unauhakika na uyasemayo?
kakuonesha mimi au mdogo wangu mdogo wangu hakai huko kg
Nakuunga mkono;
Tatizo wanawake wazuri wana tabia mbaya sana tena sana .... ona kisa hiki ...
Kabla sijaoa nilikuwa na mchumba wangu mzuri kweli (Mnyankole), nilimwamini kwa kiwango kikubwa.
Sikuamini siku alipokutwa na m2 mwingine akishughulikiwa ufukweni, na waliomkuta ni jamaa zangu ambao walikuwa wanamfahamu kuwa ni mchumba wangu.
Mpaka sasa hivi ninapoandika maneno haya; hajaolewa, yuko na maisha yake mazuri tu, ameishia kuzalishwa na midume tofauti tofauti.
nenda pmmumeo...! bado wewe...
ha haaa, mtu keshakata tamaa.....
mbona mimi mzuri na nimeolewa na nimedumu kwenye ndoa miaka kibao?
au tuulize unazungumzia uzuri gani?
cc. Kongosho
Hauko peke yako!
Kuna mdada anatoka huko kwetu(sitaji mkoa) Nilimpenda nikamtaka uchumba kwani alikuwa ni kabila langu, pili ni MZURI SAAANAAAA. Nielewe ninaposema hivyo..
Ajabu story zake zikawa kama hanitaki vile lakini akawa anaonyesha kuwa anatamani vitu vya bei juu eti kwakuwa amezoea kuhongwa hayo mavitu tangu akiwa form two, nikashangaa kwanini anaujasiri wa kunieleza hivyo mtu ninaempenda ili awe mke wangu wa ndoa.
Sasa ninapoandika uzi huu kaka, juzi tu( hazijapita siku mbili) amenipigia simu eti anamimba ya mwezi mmoja, hivyo anaomba nimshauri afanyeje kwani BF aliyenae sasa sio yake ni ya MTU mwingine ambaye hayuko tayari kumtaja ila ni kibosile na hamtaki tena alikuwa part time tu, TENA anaipa story hizi kwa kujiamini...
Yaani tangu nimekuwa mkubwa sijawahi kuona janga la mdada kama huyu.
Nahisi wengi wao ni MALAYA halaf wanajisikia sana. ------!!
kwani wewe unawajua wanawake wazuri rafiki?halafu mbona mimi mbaya na sijampata hata wa kunitania!
Wanaogopa kumuoa binti kwa uzuri wake, hawajiamini na hawafai kuwa waume.
Nakuunga mkono;
Tatizo wanawake wazuri wana tabia mbaya sana tena sana .... ona kisa hiki ...
Kabla sijaoa nilikuwa na mchumba wangu mzuri kweli (Mnyankole), nilimwamini kwa kiwango kikubwa.
Sikuamini siku alipokutwa na m2 mwingine akishughulikiwa ufukweni, na waliomkuta ni jamaa zangu ambao walikuwa wanamfahamu kuwa ni mchumba wangu.
Mpaka sasa hivi ninapoandika maneno haya; hajaolewa, yuko na maisha yake mazuri tu, ameishia kuzalishwa na midume tofauti tofauti.
halafu mbona mimi mbaya na sijampata hata wa kunitania!
Wanaogopa kumuoa binti kwa uzuri wake, hawajiamini na hawafai kuwa waume.
kwani wewe unawajua wanawake wazuri rafiki?
acha hizo bwana, mbona mimi mbaya lakini ninawachanganya sana wanaume na nimezalishwa na wanaume 4 tofauti!
Uzuri au ubaya wa nje sio tabia
Sio hivyo; mwanzoni tuliwatokea warembo wakaleta za kuleta - tukawadis. Sasa hivi tunakutana nao Club tunawaomba kukumbushia na kuwaacha vyumbani - tunarudi kwa wanandoa wetu - HIYO NDO HABARI YA MJINI.
Ukienda Club huwezi kumkuta mke wa m2 (labda aloshindikana); utawakuta warembo kibao - unafikiri ni kwa nini???
Kuhusu we kutotaniwa; mda wako bado; kila jambo na wakati wake.
rafiki...... hapo red ilikuwa zamani au kwa sasa ina-apply kijijini.....bwana, nimechukulia maneno yake tu (haijalishi anamaanisha nini); kumuonesha kuwa 'uzuri' au 'ubaya' sio kigezo cha kuwa na tabia njema au mbaya ambayo ni moja ya vigezo vikuu vya kuoana baada ya compatibility!