Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,320
- 6,806
Hii inanishangaza jamani pita pita kwenye jamii zetu mbalimbali utakuta katika kikundi cha mazungumzo (bar ndiyo zaidi) jambo lolote linalo zungumzwa na mwenye pesa watu wanalisikiliza kwa makini na kuliona pointi kubwa huku wengine wakitikisa vichwa kuonyesha kuwa wanakubali anachosema hata kabla hajaanza kuzungumza!
Asiekuwa na kitu hata aongee mambo ya msingi namna gani hasikilizwi, anaonekana hana pointi kabisa.....
Jamani hii ni kasumba, au nini hasa kinatusumbua?
Asiekuwa na kitu hata aongee mambo ya msingi namna gani hasikilizwi, anaonekana hana pointi kabisa.....
Jamani hii ni kasumba, au nini hasa kinatusumbua?