Ni kweli kiki zina nafasi kwenye game?

Makande 26

Senior Member
Jul 23, 2019
113
97
Wadau ni kiki inampa mtu nafasi kwenye game au ni ubora wake na kipaji alichonacho ndo vinamboost
 
Wadau ni kiki inampa mtu nafasi kwenye game au ni ubora wake na kipaji alichonacho ndo vinamboost
Inategemeana na aina ya game mkuu, kwa mfano game la nyoka halihitaji sana kiki, hata game la draft halihitaji kiki sana labda game la race la pikipiki hapo bila kiki lazma uwe wa mwisho
 
Back
Top Bottom