Mulongo
Member
- Apr 28, 2012
- 28
- 3
Kila mahali au kijiwe ninachokaa hasa mida ya asubuh na jioni nasikia watu wakimsema huyu bwana kwamba siku hizi hawataki kusikiliza kipindi cha Jahazi eti kwa sababu Kibonde amekua akitetea mambo ambayo dhahili yanaonyesha si ya kuungwa mkono, juzi kuna mtu kaweka thread hapa kuhusu tangazo lililorushwa kwenye kipindi cha PB, je haya ni ya kweli, au ni mtazamo wa watu tu.