Ni kweli katika Tofauti hizi kati ya mke wa TZ na Uganda(katuni)

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
mke.jpg mke.jpg

from fb
 
...It is ONLY a foolish can do it; wise women cannot dare it. Unless substantive research findings are used, this assertation cannot be justified by mere drawings!
 
Hiyo ngoma ipo pande za Kenya, hauoni hata ka-TZ kameandikwa kwa mcharazo baada ya kufuta eneo la Prezo Mwai.
 
Ingekuwa hivyo duuh cpat picha, walio hvyo ni wachache sana tena kama umeolewa na sii umeoa. Hope u Understand what I mean!
 
Wabongo kwa kuchakachuwa. Hiyo cartoon ni ya Kenya. Cartoonist alikuwa ana-compare wanawake wa Kenya na Uganda. Huyo mke wa Tz kwenye original idea ni mke wa Kenya. Nadhani wife wa kiTz wako moderate, wanaegemea kotekote. Inategemea mwanaume accident ilitokea maeneo gani.
 
CHEZIMBA.
Kwa mapenzi na mapenzi!
Mimi nakwenda Taanga!
Wanawake wa Kitanga,
Ukicheza utatangatanga!​
Hata maji ya kuoga!
Huchanganywa na Iliki!
Na mdalasini wa Waridi​
Kama huamini we!
Nenda Mombasa au Unguja.

Kwa mafuta na mafuta!
Mimi natumia ya Uto!
Ukitaka ya uzuri!
Utakuja chapwa na fimbo!​
Fimbo eehee!
Fimbo spesheli​
Kijongolo cha Babu Ndinga!
kichongolo spesheli.

Kaa kitako ufikiri na ufikie hitimisho la vikaragosi hivyo.

Bazazi!

Very True kwa wa TZ, Washkaji wengi wanalilalamikia hili hasa kizazi hiki cha nyoka. Uganda Sijui kwakweli lakini nahisi "hata kwao wapo".
 
Ndio Maana Most of the cases in Uganda..

are Domestic Violences Simply Ugandan women/Wives..

are justify themself to their Men/husband as..

Inferoir ones...,Bongo hakuna Mambo ayo ya Kabaka Mutesa..

Mwendo mdundo tuu wa western culture.!!! raha sana.

No Brain! Do you know the rate of children from broken houses now in Tanzania? You must be an egomaniac f**l to think this is funny?

'West Can never be East'.
 
Ndio Maana Most of the cases in Uganda..

are Domestic Violences(?) Simply Ugandan women/Wives..

are justify themself to their Men/husband as..

Inferoir ones...,Bongo hakuna Mambo ayo ya Kabaka Mutesa..

Mwendo mdundo tuu wa western culture.!!! raha sana.

Andika ki-bongo tu utaeleweka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom