Ni kweli katika Tofauti hizi kati ya mke wa TZ na Uganda(katuni)

No Brain! Do you know the rate of children from broken houses now in Tanzania? You must be an egomaniac f**l to think this is funny?

'West Can never be East'.

Must you be mentaly deranged to get your point across?
 
No Brain! Do you know the rate of children from broken houses now in Tanzania? You must be an egomaniac f**l to think this is funny?

'West Can never be East'.

Unaonyesha jinsi gani ulivyochanganyikiwa..Sina Muda.!!!
 
True enzi hizo muchara waliheshimu sebo sana. Until time makes its reverses ,now the rude boy strikes his father, now we walk unintented way,
 
mimi huwa inanitokeaga kwa my huby wangu akiniudhi namfanyia visa, lakini nadhani kiujumla the opposite is the case
 
Wewe nenda Tanga ukaone mambo, usiwadhalilishe wanawake wetu bhana...muulize mkuu Badili Tabia atakwambia.

Ushawahi kuwekewa kisosa chini ya dushelee ili lisijigonge sakafuni wakati wakuogeshwa? Unafahamu kazi za hiliki na mdalasini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom