Unaandika kama wote tupo humo kwenye ubongo wako...Inadaiwa aliyehukumiwa kwenye ile kesi maarufu ya wafanyabiashara ya madini yupo Uraia kitambo tu.
Je, alikata rufaa tena baada ya rufaa ya kwanza kushindwa!? Jinsi ile kesi ilivyokamata vichwa vya Habari inawezekana aliyekutwa na hatia na kufungwa akatoka jela bila taarifa kuvifikia vyombo vya Habari!?
Na kama alitoka Kwa msamaha mbona haijawahi semwa!?
Hebu tulia kwanza..usiandike as if tunashare wote ubongo...Inadaiwa aliyehukumiwa kwenye ile kesi maarufu ya wafanyabiashara ya madini yupo Uraia kitambo tu.
Je, alikata rufaa tena baada ya rufaa ya kwanza kushindwa!? Jinsi ile kesi ilivyokamata vichwa vya Habari inawezekana aliyekutwa na hatia na kuhukumiwa "kunyongwa mpka kufa" akatoka jela bila taarifa kuvifikia vyombo vya Habari!?
Na kama alitoka Kwa msamaha mbona haijawahi semwa!?
Kesi ya zombe hiyo. Bageni?Inadaiwa aliyehukumiwa kwenye ile kesi maarufu ya wafanyabiashara ya madini yupo Uraia kitambo tu.
Je, alikata rufaa tena baada ya rufaa ya kwanza kushindwa!? Jinsi ile kesi ilivyokamata vichwa vya Habari inawezekana aliyekutwa na hatia na kuhukumiwa "kunyongwa mpka kufa" akatoka jela bila taarifa kuvifikia vyombo vya Habari!?
Na kama alitoka Kwa msamaha mbona haijawahi semwa!?
Kuna miujizaKimetokea Nini Apostle
Pokea Pokea Pokea Magari Kufutiwa MadeniKuna miujiza
Kati ya hizo kuna ambayo ilihusisha mauaji ya watu wanne!?elezea vizuri unaficha ficha nini kesi za wafanya biashara wa madini ziko nyingi iko ya mtwara iko ya songea iko ya arusha ziko nyingi sasa unaandika hoja kama tunapiga umbea bar
Na Mimi nimesikia wiki iliyopita ila sina uhakika.Inadaiwa aliyehukumiwa kwenye ile kesi maarufu ya wafanyabiashara ya madini yupo Uraia kitambo tu.
Je, alikata rufaa tena baada ya rufaa ya kwanza kushindwa!? Jinsi ile kesi ilivyokamata vichwa vya Habari inawezekana aliyekutwa na hatia na kuhukumiwa "kunyongwa mpka kufa" akatoka jela bila taarifa kuvifikia vyombo vya Habari!?
Na kama alitoka Kwa msamaha mbona haijawahi semwa!?
ulitaka nani aseme au akwambie gentleman?🐒Inadaiwa aliyehukumiwa kwenye ile kesi maarufu ya wafanyabiashara ya madini yupo Uraia kitambo tu.
Je, alikata rufaa tena baada ya rufaa ya kwanza kushindwa!? Jinsi ile kesi ilivyokamata vichwa vya Habari inawezekana aliyekutwa na hatia na kuhukumiwa "kunyongwa mpka kufa" akatoka jela bila taarifa kuvifikia vyombo vya Habari!?
Na kama alitoka Kwa msamaha mbona haijawahi semwa!?
yes, na ipo ya morogoro.elezea vizuri unaficha ficha nini kesi za wafanya biashara wa madini ziko nyingi iko ya mtwara iko ya songea iko ya arusha ziko nyingi sasa unaandika hoja kama tunapiga umbea bar