Ni kweli Iringa wanakula mbwa?

Ni kweli Iringa wanakula mbwa?

Wamewahi kuwa wala mbwa; tribal peer pressure imewabadilisha. Waliacha baada ya kuwa wanataniwa na kuchekwa na makabila mengine.

Hata Wanyiramba zamani walikuwa wanakula punda. Nao tribal peer pressure iliwabadilisha!
Sijui kwanini wanyalu wanakanusha sana.
Mbona hakuna shidoooo?
Hivi ukimwangalia pweza alivyo au kasa, si afadhali kula mbwa kuliko kula pweza na kasa?

Vipi wanaokula konokono na popo? Je wanaokula nyani kule umatengoni? Kwanini uone aibu kula mbwa? Nyama ya mbwa pia inaliwa DRC na mashariki ya mbali pia.
 
Sijui kwanini wanyalu wanakanusha sana.
Mbona hakuna shidoooo?
Hivi ukimwangalia pweza alivyo au kasa, si afadhali kula mbwa kuliko kula pweza na kasa?

Vipi wanaokula konokono na popo? Je wanaokula nyani kule umatengoni? Kwanini uone aibu kula mbwa? Mbwa piavwanali2a DRC na mashariki ya mbali pia.
Hizi mila ni shida sana na mara nyingi ni kichaka cha kufichia ignorance!

Kuna vitu vingi very nutritious ambavyo kabila fulani wanakuwa hawavili kwasababu za kimila. Mimi nimekataa kufungwa na hizo mila; niko tayari kula kitu chochote ambacho watu wengine elsewhere wanakula na hawadhuriki.
 
🤣🤣 Sasa mkuu tuko pamoja.
Nimewahi kwenda Kusini huko Ike mida ya jioni wakaletwa wanyama jamii ya panya wakubwa, kwamba ni mboga ya usiku.
Sasa mimi nikasema kimoyomoyo "wanaondaa ni watu wazima, na sitakula peke yangu tutakula pamoja na wenyeji wangu, basi mimi nakula"
🤣
Tulikula vizuri tu na sikupata shida yoyote.
 
Back
Top Bottom