Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,978
- 84,202
Shindwaa!!si ulisema alipo Upo 😅
Shindwaa!!si ulisema alipo Upo 😅
Mjusi mwisho wake hua ni kula wadudu tu.Aiseeeee! Dunia imevaa sketa, ole wako nikukute sikumoja umeipanga jikoni barabarani ukanilisha, utakuwa ndiyo mwisho wako mazima.
Swal la mtego eeh 😅Wote tu🫢
Namana hujaelewa maana ya hiyo Sharo mwishoni, maana yake ni Mjusi smart mla nyama safi, kuku, bata, chukizo la mashekhe n.k na siyo jibwa plus.Mjusi mwisho wake hua ni kula wadudu tu.
Kihesa sehemu gani!!?Sio kweli nimekaa na wahehe wakina mwagito pale kihesa hawali mbwa ni utani
ila wanapenda sana nyama na ni wachoyo wa nyama na ni wavivu wa kufaga wanyama!
Kumbe nilikuwa ndotoni😅😂😂😂 Amka kumekucha
Mhh kwani nini ni nini 😅Deep down u wanna touch an electric wire and see if it works right?😂
Nini ni nini kwani hhm??😅Mhh kwani nini ni nini 😅