MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,765
- 2,037
Mkuu! Binadamu tumetofautiana sana kimaumbile.Siyo kila style ya tendo la ndoa inafaa kwa kila combination ya watu. Kwa waliofanya hili tendo na watu tofautitofauti watathibitisha hili. Mjifunze mtu wako,find your comfort zone!