Dr. Sakis One
Member
- Dec 27, 2010
- 32
- 0
Buguruni karibu na home kabisa dah!! Nilikuwa sijui ati !! Thanks kwa info bro
hivi mbunye imeshuka bei hivyo???Wakati dunia ikiwa katika kampeni za kupambana na janga hatari la UKIMWI, inasemekana kuwa hali imekuwa tofauti katika miji mikubwa ya Tanzania hasa DSM, Arusha, Mwanza, na Tanga. Kulingana na uchunguzi wa asasi moja ya kupambana na maambukizi ya Ukimwi, imebaini kuwa wanawake wanaoshiriki zaidi biashara hiyo ni Wasiolewa, walioachika katika ndoa, wanafunzi hasa walio vyuoni (Hostels), na kwa sasa hata wanafunzi wa sekondari na wale ambao hawajapata nafasi ya kuendelea na masomo.
Kwa DSM imebainishwa kuwa mitaa ya SINZA, BUGURUNI, KINONDONI inaongoza kwa ukahaba hasa nyakati za usiku. Kwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka bei imefikia hadi Tsh. 1000/= kutokana na watoa huduma kuwa wengi.
Source: shirika la kupambana na ukimwi TZ.
NB: Wana JF, Je ni kweli haya mambo ya hadi Tsh. 1000/= tu yapo au haya mashirika ya utafiti yanatuongopea? Kama yapo tufanye nini ili tuokoe taifa letu maana yaonyesha hali ni mbaya @! Kuupata ukimwi kwa sh. 1000/= hii ni hatari sana! TUJADILI WAKUU.
hivi mbunye imeshuka bei hivyo???
Huo utafiti walioufanya ni mzuri lakini bado hauelezi hali halisi.Wajaribu kutembelea kwenye wilaya na migodini ambako unaweza kupata changu kwa kumuhakikishia tu utalala kwangu na kesho ukiamka utakunywa chai na vitumbua.Hali ni mbaya kuliko inavyoweza kufikiriwa.Haya nimejionea kwa macho yangu katika mihangaiko yangu ya maisha

Tena there is absolutly nothing like that madem wanaokuja kujiuza maeneo kama hayo ni very expensive tene imported from rwanda, kampala some from dar na wengine toka congo.........sio wa kuhonga buku mbili kama unayo iambia jamii hapaHuo utafiti walioufanya ni mzuri lakini bado hauelezi hali halisi.Wajaribu kutembelea kwenye wilaya na migodini ambako unaweza kupata changu kwa kumuhakikishia tu utalala kwangu na kesho ukiamka utakunywa chai na vitumbua.Hali ni mbaya kuliko inavyoweza kufikiriwa.Haya nimejionea kwa macho yangu katika mihangaiko yangu ya maisha
Tena there is absolutly nothing like that madem wanaokuja kujiuza maeneo kama hayo ni very expensive tene imported from rwanda, kampala some from dar na wengine toka congo.........sio wa kuhonga buku mbili kama unayo iambia jamii hapa
yani ninahamu na wewe ni pm basi nikuchanechane dogo

wewe paka mweusi angalia usije kuwa mwekundu ghafla,
Tafadhani naomba souce ya info zako na kama vipi nitafute pm tuzungumze kuhusu hii comment yako....
Unasikiliza mambo ya kwenye gahawa unaleta in the foroum? sitaki kuamini uongo wako huo,
Migodini hujafika unlesss bainisha ni wachimbaji wadodowadogo wa kibongo tena waliochoka mno
na si kwa ma investors(i mean GGM, Barrick etc........)