Ni kweli hatujui?

Ni kweli hatujui?

....juzi kati nimeanza kuchati na mwanaume huku JF,ana maneno matamu naye amesema amevutiwa na posti zangu!kwa kweli tukichati ananipa furaha mpk najuitia kuwa na huyu!....am soo carried away!...mpk juzi huyu wangu kaniuliza"baby mbona uko sana busy na simu"???swali langu ni hili wanaJF,wenzetu wakianza kuchepuka huwa hatujui kabisa?,au often tunaignore "warning signs"????...karibu

Wasi wasi wangu isije mkaudhiana mkaanxa kuanikana, haya mambo ni vema yakaishia huko huko
 
Hujui kuna kufake wewe?

Subiria ukija na majonzi hapa .....!!
 
imaney fanya utani na jamii hii. Utamuacha mtu wako kwa kivuli cha mtu.
Kuna watu kazi yao ni kubanjua na kutupa kule. Hili ni chaka..shaurilo...!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mkuu mie nawabananisha bana,hivi kwa nini wanaume wanaume wanaweza kuchepuka miaka kadhaa na usimjue kamwe,ila wanawake hatuwezi...nafsi itakusuta tu,au wenzetu waliumbwa tofauti?!

Ndio tuliumbwa tofauti sana na
Ndio maana baadhi ya dini zinaruhusu mtu kuoa wanawake nne.
Ila hakuna inayoruhusu mwanamke kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja😉
 
Nawe ulikuwa unakula makombo, duh una roho ngumu sana.
a
i was young and stupid .......but nilikuwa simuelew yule mama....yaani alikuwa ananihudumia mpaka nauli ya kwenda Tambaza...misos na kila kitu so it was good for me by the time.
nakumbuka birthday ya mwanae al
 
Back
Top Bottom