Ni kweli hatujui?

Ni kweli hatujui?

Ndivyo inavyoelekea...baada ya miaka kadhaa ya ndoa....kunakuwa hakuna tena exciment....hata sie wanawake hufeel hivyo....ukimpata mtu ni rahisi kukuchanganya!
......ndio maana wanasema ni rahisi kugonga wake za watu,simply wanakuwa wamezichoka ndoa zao....

Aiseeee
 
Kuna ukweli hapa, Wanaume wanaoweza kufill these gaps hongera zao. Je mkuu imaney hata akiwa anakupa Compliments na kukujali dont you get used to it na kutamani fleva/swaga nyingine?
 
Last edited by a moderator:
Twen'zetu pm tukaliweke sawa hili jambo. Hapa brother anatuona.....!?
 
Mimi ndo zaidi. Natamani ile siku ifike nikutumie ticket. Uzalendo unaelekea kunishida. Love you so much baby.

Brazaako hayupo bwana tuendelee tu na mipango yetu...yupo mpirani
 
ivi wajua kua kuna wacheza ngoma wengi ila mpika ngoma ni mmoja na wamoja aweza vaa mbili,na wambili awezi vaa moja you have to be carefully
 
Hahaha mkuu mie nawabananisha bana,hivi kwa nini wanaume wanaume wanaweza kuchepuka miaka kadhaa na usimjue kamwe,ila wanawake hatuwezi...nafsi itakusuta tu,au wenzetu waliumbwa tofauti?!

Sio kweli wanawake ndio wanaweza kuchepuka bila kujulikana tena kwenye nyumba za kupanga.
Nakumbuka 2003 nilivokuwa Advance nilipanga geto maeneo flani....nilikuwa nakula sana mke wa mpangaji mwenzangu, 11 alfajil akitoka Mme..mke anaamia kwangu for 3 yrs nlikuwa najilia bila kujulikana.
 
....juzi kati nimeanza kuchati na mwanaume huku JF,ana maneno matamu naye amesema amevutiwa na posti zangu!kwa kweli tukichati ananipa furaha mpk najuitia kuwa na huyu!....am soo carried away!...mpk juzi huyu wangu kaniuliza"baby mbona uko sana busy na simu"???swali langu ni hili wanaJF,wenzetu wakianza kuchepuka huwa hatujui kabisa?,au often tunaignore "warning signs"????...karibu
Red flag tunaziona ila tunachoose kuignore kisa usivuruge mapenzi kumbe unaitesa roho yako bure.
nilisha ignore sana hizo tabisa ila sasa basi nikiona kitu sijapenda namwambia hapohapo am not blind no more
 
huyo unaechat nae kaa mbali atakufanya umwache mumeo au sijui mchumba afu yeye wala hana habari nawewe
tatua matatizo yako na mwenzio
 
Hahahahaa umenichekesha sana mkuu....btw mtoa mada be careful....u can loose a diamond while u are too bize collecting stones

Ushauri wa maana sana kazi kwake mtoa mada auzingatie au
 
Sio kweli wanawake ndio wanaweza kuchepuka bila kujulikana tena kwenye nyumba za kupanga.
Nakumbuka 2003 nilivokuwa Advance nilipanga geto maeneo flani....nilikuwa nakula sana mke wa mpangaji mwenzangu, 11 alfajil akitoka Mme..mke anaamia kwangu for 3 yrs nlikuwa najilia bila kujulikana.

Nawe ulikuwa unakula makombo, duh una roho ngumu sana.
a
 
Back
Top Bottom