Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,914
- 11,330
Hahaha mkuu mie nawabananisha bana,hivi kwa nini wanaume wanaume wanaweza kuchepuka miaka kadhaa na usimjue kamwe,ila wanawake hatuwezi...nafsi itakusuta tu,au wenzetu waliumbwa tofauti?!
What are you talking about?
Kuna wanawake mabingwa wa ku cheat na wamekubuhu!Kwa siku anaweza akawapanga wanaume hadi 5 na hamna wa kushtukia!
Wewe bado ni kinda ukiwa mzoefu utawapanga sana