Ni kweli gazeti la Raia Mwema haliko mitaani leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli gazeti la Raia Mwema haliko mitaani leo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Congo, Jun 8, 2011.

 1. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,135
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Nimeuuliza muuza magazeti kaniambia gazeti la Raia Mwema halikuchapishwa na halitatoka leo. Kweli? Mwenye habari za ndani atupakulie!
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hebu lisome mtandaoni
   
 3. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,090
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Walitoa taarifa kuwa litatoka kesho ili liweze kujumuisha habari zinazohusu bajeti ya Serikali itakayosomwa bungeni leo
   
 4. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,135
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Asante Taffu69
   
 5. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,135
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Lililopo ni la tarehe 1-7 June
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Asante :closed_2:
   
 7. A

  Anold JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,235
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Nikweli halijatoka ila litatoka kesho, hii ni kutokana na ukweli kuwa linataka kuhakikisha kuwa bajeti itakayosomwa leo jioni mwananchi anaipata kesho kupitia gazeti hilo bila chenga za magazeti ya uhuru na mzalendo.
   
 8. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,557
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  huyo huyo muuza magazeti aliyekuambia kuwa halitotoka alikuwa akueleze hints za mwanzoni kabisa. pili tafuta mfanyakazi wa pale umuulize kulikoni? labda ni leo tu
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Siyo mbaya nitasoma MwanaHalisi kisha kesho nachukua copy yangu ya Raia Mwema.
   
 10. P

  Penguine JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,129
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono endapo hili litakuwa kweli ndiyo lengo lao.
   
 11. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bado. Mi sijaliona.
   
 12. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,222
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Kwani hawawezi kutoa leo na kesho wakatoa toleo maalumu
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Litatoka kesho!
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Leseni yao ya biashara inawaruhusu kutoa mara mbili kwa wiki??
   
Loading...