Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,968
- 864,057
Nchi hiyo kubwa Africa ambayo hali ni tete hasa baada ya Rais Kabila kuamua kuahirisha uchaguzi mpaka 2018 kwa sababu za kiusalama, jana kwenye sherehe za kuweka jiwe la msingi kwenye jengo la mamlaka ya bandari/mapato , tukaambiwa eti usalama ni asilimia 99 kasoro maeneo machache pembezoni mwa nchi
Mwishoni mwa wiki iliyopita hali ilizidi kuwa mbaya huku wanaompinga Kabila wakizidi kuongezeka na hali ya usalama ikizidi kudorora
Kwa mshangao wa wengi Tanzania ikamwalika rais wake kuja kwenye sherehe tajwa hapo juu
Ninini kinaendelea hapa? Ni ishara gani tunapewa kwa siasa za Tanzania hapo mbeleni?