Ni kweli Corona ni tishio zaidi?

Ni kweli Corona ni tishio zaidi?

edward93

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
565
Reaction score
1,358
Habari za mchana wakuu!

Ni kweli dunia imekua ikishuhudia kuibuka kwa viruses tofauti tofauti ambao husababisha vifo vya watu wengi!

Now dunia nzima inatikiswa na ugonjwa wa Covid-19, sidhiaki ugonjwa huu kabsa ila nnachojiuliza kwann kirusi huyu amerise tension na panic kubwa sana kuliko magonjwa mengne ambayo yamewahi kuikumba dunia na kusababisha vifo vingi zaidi na viruses wake walikua complicated zaidi?

2003 Sars virus alisababisha mortality rate ya 10% na kusambaa kwenye nchi 26 dunia kote.

2014 Ebola ilisababisha vifo 11,310.

2009 Swine flu ilisababisha mortality rate ya 4.5%

2020 Corona imesababisha mortality rate ya 3% mpaka tar 5-3-2020. Na asilimia 94% ya vifo hivyo vmetokea china peke yake.

Ukiangalia takwimu hizo utaona kuwa angalau Corona ina least damage lakini imepata publicity kubwa sana kuliko magonjwa mengine ambayo yalikua hatari zaidi, ukiingia mitandaoni unaweza kuhisi Corona ipo sebuleni kwako hapo buza!

Je hili ni sababu ya kuongezeka kwa utandawazi? Au kwa vile imetokea China? (90% naamini kama corona ingetokea katika nchi moja ya africa na kuua watu wengi zaidi kwenye nchi hyo pekee basi duniani sasa hivi tungekua tunaongelea kitu kingne na sio corona).

Mwisho naheshimu ugonjwa huu na kuwapa pole waathirika wote na kuwaombea na pia tuendelee kujilinda na kuomba Mungu atuepushe na ugonjwa huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au kwa vile imetokea china? (90% naamini kama corona ingetokea katika nchi moja ya africa na kuua watu wengi zaidi kwenye nchi hyo pekee basi duniani sasa hivi tungekua tunaongelea kitu kingne na sio corona).
Majibu yako yapo hapa hapa, endelea kula Bata achana na kick za Corona huku ukichukua tahadhari na kukithirisha maombi uepukane na haya majanga. Usidharau tatizo katika maisha haya.
 
Unakuta Corona mwenyewe anajiona wa kawaida tu. Ila ona sasa wadau na waandish
i wa habari wanavyopambisha! 😀 😀
 
Africa maskini haiwezi kupata kick sawa na wachina
Lakini katika hiyo miaka ya hayo magonjwa weka na rekodi yake ya matumizi ya mtandao
Leo watu wamekuwa wakipata habari kwa ukaribu sana tofauti na miaka mitano, kumi kumi na tano nyuma huko
Dunia imekuwa kama kitongoji sio kijiji tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mchana wakuu!

Ni kweli dunia imekua ikishuhudia kuibuka kwa viruses tofauti tofauti ambao husababisha vifo vya watu wengi!

Now dunia nzima inatikiswa na ugonjwa wa Covid-19, sidhiaki ugonjwa huu kabsa ila nnachojiuliza kwann kirusi huyu amerise tension na panic kubwa sana kuliko magonjwa mengne ambayo yamewahi kuikumba dunia na kusababisha vifo vingi zaidi na viruses wake walikua complicated zaidi?

2003 Sars virus alisababisha mortality rate ya 10% na kusambaa kwenye nchi 26 dunia kote.

2014 Ebola ilisababisha vifo 11,310.

2009 Swine flu ilisababisha mortality rate ya 4.5%

2020 Corona imesababisha mortality rate ya 3% mpaka tar 5-3-2020. Na asilimia 94% ya vifo hivyo vmetokea china peke yake.

Ukiangalia takwimu hizo utaona kuwa angalau Corona ina least damage lakini imepata publicity kubwa sana kuliko magonjwa mengine ambayo yalikua hatari zaidi, ukiingia mitandaoni unaweza kuhisi Corona ipo sebuleni kwako hapo buza!

Je hili ni sababu ya kuongezeka kwa utandawazi? Au kwa vile imetokea China? (90% naamini kama corona ingetokea katika nchi moja ya africa na kuua watu wengi zaidi kwenye nchi hyo pekee basi duniani sasa hivi tungekua tunaongelea kitu kingne na sio corona).

Mwisho naheshimu ugonjwa huu na kuwapa pole waathirika wote na kuwaombea na pia tuendelee kujilinda na kuomba Mungu atuepushe na ugonjwa huu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwaka 2003 kijijini kwetu ilikuwepo TV moja to kwa mzee fulani aliyeletewa na mtoto wake aliyekuwa akiishi 'ng'ambo'
Simu za mikononi (twanga pepeta)
ilikuwa tunazihesabu mojamoja kwa watu wa serikali kutoka mjini
 
Majibu yako yapo hapa hapa, endelea kula Bata achana na kick za Corona huku ukichukua tahadhari na kukithirisha maombi uepukane na haya majanga. Usidharau tatizo katika maisha haya.
Yah sure! Inawezekana kabsa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kinachoifanya Corona kutishia sana sio hiyo fatality yake, bali ni ugumu wake kwenye kuigundua na kui contain isisambae

Corona inasambaa kwa njia ya hewa na kugusana, na ukiipata huonyeshi dalili wala ukipimwa haionekani, lakini bado itakuwa inasambaa kwa kasi,

yaani mtu ana 1 ana corona ambayo haionekani kwa siku 14, anaambukiza watu 50 au hata 100 kwa siku na wale wanaombukizwa nao wanaambukiza wengine kwa rate hiyo hiyo, hapa inamaanisha ndani ya mwezi tu, mji kama Dar watu wote wanaweza kupata corona kama haitagundulika mapema kabisa

Mfano mtu mmoja tu leo akigundulika ana corona hapa Dar leo, basi mji mzima unatakiwa uwekwe kwenye lockdown maana inawezekana ameshaambukiza hata watu 500 ambao nao wanaambukiza wengine na wengine na wengine tena, kibaya zaidi hao walioambukizwa hawajukikani hadi siku 14

Mzee Italia wamegundulika watu hawafiki hata 3000 ila matamasha yote yamezimwa, miji imepigwa lock, mechi za mpira hazichezwi, we unadhani hii ni show off?

China watu elfu 50 tu waligundulika nao ila jimbo zima lenye watu milion 50 likawekwa kwenye lockdown, miji mingine shuguli zikasimana, Wachina walivyo na njaa unadhanni wangefanya hili kwa sjow off ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]
Mwaka 2003 kijijini kwetu ilikuwepo TV moja to kwa mzee fulani aliyeletewa na mtoto wake aliyekuwa akiishi 'ng'ambo'
Simu za mikononi (twanga pepeta)
ilikuwa tunazihesabu mojamoja kwa watu wa serikali kutoka mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoifanya Corona kutishia sana sio hiyo fatality yake, bali ni ugumu wake kwenye kuigundua na kui contain isisambae

Corona inasambaa kwa njia ya hewa na kugusana, na ukiipata huonyeshi dalili wala ukipimwa haionekani, lakini bado itakuwa inasambaa kwa kasi,

yaani mtu ana 1 ana corona ambayo haionekani kwa siku 14, anaambukiza watu 50 au hata 100 kwa siku na wale wanaombukizwa nao wanaambukiza wengine kwa rate hiyo hiyo, hapa inamaanisha ndani ya mwezi tu, mji kama Dar watu wote wanaweza kupata corona kama haitagundulika mapema kabisa

Mfano mtu mmoja tu leo akigundulika ana corona hapa Dar leo, basi mji mzima unatakiwa uwekwe kwenye lockdown maana inawezekana ameshaambukiza hata watu 500 ambao nao wanaambukiza wengine na wengine na wengine tena, kibaya zaidi hao walioambukizwa hawajukikani hadi siku 14

Mzee Italia wamegundulika watu hawafiki hata 3000 ila matamasha yote yamezimwa, miji imepigwa lock, mechi za mpira hazichezwi, we unadhani hii ni show off?

China watu elfu 50 tu waligundulika nao ila jimbo zima lenye watu milion 50 likawekwa kwenye lockdown, miji mingine shuguli zikasimana, Wachina walivyo na njaa unadhanni wangefanya hili kwa sjow off ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora sie wa mkoani kama hayo masi yenu ya kimara sijui itakuaje humo mbagala tegeta sipatati picha kama gonjwa lenyewe msigusane na mpango wa kupumuliana.naisi itakua kama lile muvu [working dead]
 
Back
Top Bottom