Mkuu hili neno zuri ni baraa au majanga kwani angako lolote la chama lina athari kubwa kwa viongozi ,wanachama na mali za chama. Mambo hayo yanaweza kupelekea baadhi yao wajae ndani ya nondo imara na pia kufirisi baadhi ya watu na kutaifishwa baadhi ya mali za chama , viongozi na hata wanachama.Hili kama si baraa au majanga ni nini?
kazi bado ipo kubwa eti
baraa tena capital letters
mazara ....duh
kuzini..
Still we av long way to go..!!
Mungu ibariki africa!
Mungu kibariki kiswahili lugha maridhawa!
BARAA - jina la kata fulani pale A town!
Nimekuelewa vema