isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Siviamini.Sioni haja ya kujadili kama dunia ni flat au duara wakati hata picha za anga za juu kutoka kwenye satelites au vyombo vingine zinaonesha wazi wazi jambo hilo siku hiziView attachment 1021270.
Muhammad unaemzungumzia alikuwa hajui kuandika na kusoma... Itakuwa umemeza upupu.Sio maneno yng mkuu ni muhamed kwenye kitabu tukufu ameandika ivo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nadhani hukumuelewa mwenzako aliye na akili za udini.Muhammad unaemzungumzia alikuwa hajui kuandika na kusoma... Itakuwa umemeza upupu.
Ata ivo, nijibu swali langu basi. Ukisema jua linazama, huwa linazama wapi? unaaminisha kuwa linadidimia chini ama?
Ama ukisema jua linazama upande wa maghribi unataka kutwambia kuwa dunia imesimama na jua ndio linalomove kutoka mashariki kwenda magharibi?
Inawezekana kila ukanda una jua lake pia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu, huu ni utani? Au ndio fact za kuthibitisha kuwa dunia ni flat?
Kila siku na jua lake?
Au linarudi likiwa limezima?
Sasa kama ndio hivyo, mbona wakati wa usiku(ambapo ndio limezima na linarudi) kwa watu wengine inakuwa ni mchana?
Sasa kama kila siku ina jua lake, yanazama yanaelekea wapi? Au yanaenda chini ya dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dunia ni duara.
Why watu waliopo upande wa chini kama Australia hawadondoki?.
Watu hawadondoki kuelekea wapi?
Kama dunia duara na watu wangedondoka, basi usingeona wanadondoka bali ungeona wanapaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie ndungu yangu Director Cosmopolitan. Kama dunia si duara. Ikitokea ukaanza kwenda mashariki kwa kufuata mstari ulionyooka, bila kujali how long ull take, utatokea wapi?Isilazimishe niamini unavyo amini wewe hizo picha siziamini na ninaouwezo wa kuzichora.
Nimeelezea tokea post za mwanzo kikubwa ni kushindana na hoja sio kuniaminisha unavyo amini.
Upo mwisho lakini hutofika kwasababu utachoka na kufa.Nisaidie ndungu yangu Director Cosmopolitan. Kama dunia si duara. Ikitokea ukaanza kwenda mashariki kwa kufuata mstari ulionyooka, bila kujali how long ull take, utatokea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna kitu unakijuwa japo presentation ndio tatizo, kwa hiyo una maana ship navigation inasababishwa na upepo/wimbi/Hata siku moja usiseme DONE, kumaliza unaweza Ila sio kwa 100%.
Tafuta Manila paper tia kiwiko katikati iwezekuwa na asili ya sahani za karatasi (Zinazotumika katika sherehe na hafla mbalimbali) iweke juu ya meza kisha shika grope au groli katika 40 angle degrees (dimension) kwa Grope na 60 degrees kwa groli na katika manila mimina maji. Pia tengeneza mitumbwi kwa karatasi tia ndani ya maji hayo huku ukiwa umeweka maua, mawe na mchanga. Washa feni kwa umbali ukizidisha na kutoa utapata yafuatayo:-
• Meza/Beseni = Universe
• Sahani = Earth
• Grope, Groli = Sun & Moon
• Mawe/Mchanga = Continents, Mountains, Beaches etc
• Maji = Oceans and Lakes
• Feni = Moving air, Wind na inasababisha Maji kucheza.
Haya mengine endeleza.
Seriously? Kwani huwezi kwenda nchi kama china kwa kupiti upande wowote?Upo mwisho lakini hutofika kwasababu utachoka na kufa.
Unauhakika upi ilhali unaenda kwa ndege au meli? Na umekwisha Meza dunia ni duara.Seriously? Kwani huwezi kwenda nchi kama china kwa kupiti upande wowote?
Kwa mfano nikiwa hapa A. Mashariki naweza kwenda china kwa kupitia kusini au hata Kaskazini. Au hata kwa kupitia magharibi.
Tuacheni utani dunia ni duara hilo haliitaji mjadala mpana kama huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kazi ya dira ni nini?Unauhakika upi ilhali unaenda kwa ndege au meli? Na umekwisha Meza dunia ni duara.
Kazi ya dira ni kuongoza lakini haikwambi dunia ni duara.
So ukienda sana magharibi tuseme inawezekana, so hautotoke mashariki?Unauhakika upi ilhali unaenda kwa ndege au meli? Na umekwisha Meza dunia ni duara.
Kusimama Kigamboni na kuona mlima wa maji ni sawa na hautoweza kuona Zanzibar kwa sababu, Jicho lina ukomo wake wa kuona na ukomo wa jicho kuona kama ikiwa sehemu ni tambarare kwa kiasi chake ni km 48 tu, si kwa kuangalia juu bali ni kwa kuangalia sehemu iliyo tambarare.Mkuu hawa wanasayansi kuna vitu wanatuingiza chaka na tunakubali kwamba hiki ni chaka tunaingizwa,mfano"evolution of man"ila hili la umbo la dunia,bado una pointi dhaifu sana za kuwapinga.
Dunia ni flat sawa.kwanini nikisimama tu hapo kigamboni naona mlima wa maji,ambao unanizuia nisiione zanzibar???
Ni kwanini nikisimama kwenye jengo refu zaidi,naaona mikunjo ya duara kwa mbaali,au ni viroba vimeingia machoni??hakuna mkunjo wowote.
Simama hapo ulipo angalia mbele mawinguni,unaona mawingu yameshuka mbele kule si ndio??embu mark eneo yanapoonekan chini kabisa,kisha nieleze unaweza fuata ukayakuta??
Absolutely ndio maana China hazunguki kwenda US au Canada.So ukienda sana magharibi tuseme inawezekana, so hautotoke mashariki?
Safi sana. Wazee wa Scientific Law's wanaendeshwa tu, hawafikiri.Kusimama Kigamboni na kuona mlima wa maji ni sawa na hautoweza kuona Zanzibar kwa sababu, Jicho lina ukomo wake wa kuona na ukomo wa jicho kuona kama ikiwa sehemu ni tambarare kwa kiasi chake ni km 48 tu, si kwa kuangalia juu bali ni kwa kuangalia sehemu iliyo tambarare.
Umbali wa kutoka Dar(Kigamboni) mpaka Zanzibar ni km 74. Kwa km hizo lenzi ya jicho imezidiwa km 26 za kuona. Kwa hiyo, hutoweza kupaona Zanzibar. Ikiwa kama utatumia kifaa chenye kukuza na chenye uwezo wa kuona zaidi ya Km hizo 74 nakuhakikishia Zanzibar utapaona. Hata ile kuona meli kwa mbali kama kwa juu yake inachomoza si kwamba Dunia ni tufe bali ndiyo ukomo wa macho kuona.
Ukitaka kuthibitisha hili simama kwenye Barabara ya lami ambayo ni tambarare ambayo ni ya km nyingi. Gari ikianza kuchomoza inaanza kuonekana body yake ya juu ila kadri unavyoanza kukaribia uwezo wa km za jicho kuona linanza kuonekana zima kidogo kidogo mwisho wa siku gari nzima inaonekana.
Hii ni CGI. Tuoneshe picha halisi ya umbile la Dunia iliyochukuliwa na satellite.Sioni haja ya kujadili kama dunia ni flat au duara wakati hata picha za anga za juu kutoka kwenye satelites au vyombo vingine zinaonesha wazi wazi jambo hilo siku hiziView attachment 1021270.