Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,682
- 8,809
Nimepita kwenye account yao nikakutana na hii habari, nikashtuka kidogo, ni zaidi ya nusu ya kikos hiki, inasadika kuna waliougua covid 19, wengine injuries na wengine ni kadi (wapo watatu)
Lakini swali langu ni Je, hii idadi ya hawa watu ni sahihi?
Naishauri Simba sc isije bweteka na hili, ijiandae full mziki ikiwa ni kweli tuwaue kabisa ikiwa ni fx tuwe na uhakika wa point yetu moja.
au tatu