Mimi nina swali moja tu naomba wewe na wadau wengine muweze kunisaidia katika hili. Kuna mtu aliniambia kuwa asali na limao vinaweza kuufanya Uke uwe taiti. Je ni kweli? Na kama ni kweli, hivyo vitu vinatumikaje katika zoezi zima la kufanya Uke uwe taiti?
Asante na nakutakia kazi njema.
hahahahaaaaa!Ukiitaiti halafu ukapata kubwa utafanyaje?
hahahahaaaaa!
Kweli unafikiri nje ya boxi......great thinker!
sasa haya ndo ma-experience yenyewe sasa..........lakini hapo kwenye kula asali halafu ifanye mbunye iwe ndogo si itakuwa balaaa.........sasa akila kidume itakuwaje?limao huwa nasikia linafanya kazi...asali labda uile yenyewe
unataka kuua!!Unaweza kujaribu pilipili mbuzi au kichaa lakini changanya na shubiri ila usipige kelele