M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Tusaidiane kumjibu huyu..
Mimi nina swali moja tu naomba wewe na wadau wengine muweze kunisaidia katika hili. Kuna mtu aliniambia kuwa asali na limao vinaweza kuufanya Uke uwe taiti. Je ni kweli? Na kama ni kweli, hivyo vitu vinatumikaje katika zoezi zima la kufanya Uke uwe taiti?
Asante na nakutakia kazi njema.