shughuli za kidiplomasia na haki za kimahakama?! Hebu fikiria nje ya box mkuu!
Uliyoyata yote hayana manufaa kwa wakazi wake zaidi ya kuambiwa ni fursa za kiuchumi na kibiashara "za mikutano hiyo kidiplomasia" umoja wa africa au jumuiya ya kimataifa ama shirikisho la east africa. Bada ya hapo.. Nothing at all!!
Hizi similarities nazipinga 100%. Kuna uvutaji wa ganja kwa vijana na mabinti mno, ivyo iitwe pia JAMAICA!?Geneva wamechulia kwa mfanano wa hali ya hewa .
Inastahili kwa vile kweny hali ya hewa kunafanana .
Hayo mengine sio lazima Arusha itabaki kuwa Arusha na Geneva hivyo hivyo .
Hata izo hoja zako kwangu ni trash vile vile. Mimi natazama maendeleo kwa ujumla wakeAkili ni changamoto, hatuongelei manufaa ya wananchi, Mimi nimeongea fact, hayo mengine mjadiliane huko.
Hemu uliza nchi yeyote Africa ambayo imekuwa na hazi ya kuhodhi mahakama ya Umoja wa mataifa, halafu ujijibu.
Hemu jiulize wakati wa hiyo Mahakama watu wa maeneo ya Njiro, na sehemu nyingine walivyokuwa wanapata biashara kutokana na uwepo wa hao staff.
Nyumba zilikuwa nazishikiki na ni kwa dollar, sasa hayo mengine yakwako ni trash, sijui hakuna barabara, ni trash na hayanihusu kabisa.
Fact:
Kwa nini imeitwa hivyo, hiyo ndo sababu.
Wozaaa bablaiMademu wa Arusha hao View attachment 2660297
Unataka wakazi ndio wajenge stand auSTENDI TU ndo hua inaniachaga hoi hapa Arusha
Kweli jiji la Arusha lina stendi? au kituo cha mabasView attachment 2660305
hapo na pale kati makutano tSTENDI TU ndo hua inaniachaga hoi hapa Arusha
Kweli jiji la Arusha lina stendi? au kituo cha mabasView attachment 2660305
wozaaa,Wozaaa bablai
Nimecheka...wozaaa,
siniaje chalii niko ololooo,eeh?!
Niarajee na kidcankil mkoli tu.,
Mambo ya kijinga yaani
Nimecheka...
Kula utawala arifu.
Huenda mkuuHivi hiyo Arusha si imeitwa Geneva of Africa kabla hata hujazaliwa?
Google hata images zake tu.Mkuu mimi Jiniva yenyewe sijafika, kwa hiyo nimeshindwa kutoa maoni kwa kweli!
Mount meru hospital x-ray tu sio ya uhakikaBasi tu wanajitoa fahamu kujilinganisha na MWANZA
Wakati huo Mwanza
Nyegezi stend imezinduliwa
Nyamongolo stend imezinduliwa
Zote ni stend za kisasa
Soko kuu la kisasa
Barabara haina korongo wala mashimo
Maji UHAKIKA
Umeme inategemea upara kaamkaje ila ni uhakika
Huduma za Afya
Bugando Medical Hospital(BMH)
Sekou Toure,Uhuru hospital,Kamanga zote nu kubwa sana na za kisasa
Ivi watu wa chuga nguvu za kujilinganisha na Mwanza mnatoaga wapi??
mambo ya ngaleloo na ololooNdio usela mavi ambao upo hapa Arusha jamaa wa ajabu sana
tumeambiwa tutosheke na kuwa centre ya kidiplomasiawajenge stand na barabara ndogondogo jijini
ukiwa njiro jioni unataka urudi mjini hakuna usafiri wa uhakika. Inatakiwa tupige kelele huu ujinga uishe
Kurudi mjini wakati wa jioni ni majanga mkuuNjiro ipo babu unakuwa unapata changamoto ya usafiri?