"Ni kweli Ama Wizi mtupu???..

"Ni kweli Ama Wizi mtupu???..

inawezekana sana tena sana
ingawa kuna miwanaume mingine
hua inajifanya mirafiki kumbe ina agenda ya siri
mwisho wa siku inajikweza,ila hiyo kitu yawezekana sana!!

Naam Passion Lady umekubali na kupinga mwenyewe...jibu mukichwa! #haipogoooooooo

Urafiki wa kawaidia sawa: ex-classmate, workmate, ivo..ila eti uje uniambie, "Mume wangu, huyu ni Alfred, rafiki yangu wa kushibana tangu tupo chuo."

Talaka huyo Alfred akakuoe wewe!!!! I am a man and I know... #usiulize
 
Last edited by a moderator:
Mwambie aendelee kushangaa tu akidhani ni marafiki kweli, kitakachofuata ni mtoto aliyefanana na huyo rafiki na zitakuja sababu kibao
 
sioni tu kitufe cha like kwenye kitochi changu
[FONT=century
gothic]
Ahahah mkuu umenichekesha hapo...!

Anyway, nadhani upo ila inategemea mlianzaje na ninyi ni watu wa aina
gani.

Baada ya kusema hayo, mtazamo wangu mtu unapofikia kuingia katika ndoa
kuna mahusiano ambayo ni lazima kuyavunja. Ndiyo alikuwa rafiki yangu
ila sasa nimeoa, basi sina budi kumfanya mke wangu kuwa rafiki yangu
zaidi ya yule aliyekuwa rafiki yangu kabla ya ndoa. Na wakati mwingine
hili lazima ulifanye kwa kujilazimisha.

Siamini katika ndoa ambayo mume ana rafiki yake kipenzi (sijui wa kufa
na kuzikana) wa kike, na mke naye ana jianaume huko nje rafiki wa kufa
na kuzikana...nasisitiza HATA KAMA HAKUNA MENGINE YANAYOENDELEA NYUMA YA
PAZIA!

Mueo/Mkeo ndiye rafiki yako wa pekee wa kufa na kuzikana..take it or get
out of that marriage uambatane na huyo wa kufa na kuzikana!

Nimemaliza!
[/FONT]
 
Ahahah mkuu umenichekesha hapo...!

Anyway, nadhani upo ila inategemea mlianzaje na ninyi ni watu wa aina gani.

Baada ya kusema hayo, mtazamo wangu mtu unapofikia kuingia katika ndoa kuna mahusiano ambayo ni lazima kuyavunja. Ndiyo alikuwa rafiki yangu ila sasa nimeoa, basi sina budi kumfanya mke wangu kuwa rafiki yangu zaidi ya yule aliyekuwa rafiki yangu kabla ya ndoa. Na wakati mwingine hili lazima ulifanye kwa kujilazimisha.

Siamini katika ndoa ambayo mume ana rafiki yake kipenzi (sijui wa kufa na kuzikana) wa kike, na mke naye ana jianaume huko nje rafiki wa kufa na kuzikana...nasisitiza HATA KAMA HAKUNA MENGINE YANAYOENDELEA NYUMA YA PAZIA!

Mueo/Mkeo ndiye rafiki yako wa pekee wa kufa na kuzikana..take it or get out of that marriage uambatane na huyo wa kufa na kuzikana!

Nimemaliza!
well said mkuu! sitii neno apo!
na wakuache uu:sleepy:
 
Kaazi kwelikweli Gilo..hapo nilipoweka kolezo hadi maneno haya chini hapa bado unaona ni sawa ulivyo-comment siyo kwamba lilishatokea Probability of success naona ni 0.91?

urafiki wa kawaidi tu wakushibana tena wa muda mrefu kati ya Mwanamume na Mwanamke tofauti na wakimapenzi??

Mkuu mi siwezi kukataa au kukubali sababu sina ushahidi,lakini hii ni sawa na kuchezea shilingi chooni au kuweka mwana mbuzi/kondoo na fisi na chui,but do not jump to conclusion.lakini mtu ni mchumba/mke/mme wa mtu urafiki na opposite sex wa nin?kwa nn huyo mke wako asikidhi mahitaji ya kiurafiki pia,ikumbukwe kwamba hapa siongelei urafiki wa kielimu,kazi au biashara,nimalizie kwa kusema hivi BWANA(MUNGU) asipoulinda mji(nyumba/familia) walindao wakesha bure,Mwenyezi Mungu ana nafasi kubwa katika maisha yetu tumwalike na kmhusisha kama key and primary stakeholder.
 
Hapo wizi mtupu hapo...urafiki wa hivyo ndo mzizi wa mapenzi..!! Tena wakianzisha uhusiaono hao wa hivyo, kuachana ni baadae saaana!
 
Hapo wizi mtupu hapo...urafiki wa hivyo ndo mzizi wa mapenzi..!! Tena wakianzisha uhusiaono hao wa hivyo, kuachana ni baadae saaana!

Yani uwasahau kabisa, wew utakuwa kama third party..
 
Daud Omar, yap urafiki unaweza kuwepo wa kawaida lakini inahitaji umakini wa khali ya juu maana ni vigumu kuujua moyo wa mtu. Nilishawahi kuwa na rafiki mdada na tulishibana vilivyo, na kwa wakati huo nilikuwa namjua hata boy friend wake. Mimi nilikuwa namheshimu kama dada na rafiki yangu, pia nikafikiri mwenzangu pia ananichukulia hivyohivyo.

Nakumbuka siku moja alikuja kunitembelea nyumbani kwangu, tukapiga stori za hapa na pale, na ni mara nyingi ananitembelea au mi namtembelea lakini siku nikashangaa mdada amenibadilikia ananiomba nimkumbatie aiseeee kwanza nilistuka sana kwa kuwa sijategemea, nikajua ananitania, mara kainuka akaja kunikumbatia, nikamwambia haya imetosha niachie akazidi kunishika kusiko staili aiseee nilimsukuma na kumsindikiza. Alinichukia na hatukuongea kama wiki 2 hivi baadae akaniomba msamaha, yakaisha. Cha msingi tahadhari kubwa iwepo
 
tatizo miwanaume inaendekeza
kiungo ch uzazi,ila wapo baadhi
wanajitambua,wanajua nn maana ya urafiki!!
kwani Mentor wewe huwezi?
 
Last edited by a moderator:

tatizo miwanaume inaendekeza
kiungo ch uzazi,ila wapo baadhi
wanajitambua,wanajua nn maana ya urafiki!!
kwani Mentor wewe huwezi?
Passion Lady c'mon! Umeolewa halafu una best friend/wa kufa na kuzikana/sijui mmeshibana!??????? KWELI??? Kwanini mumeo asiwe huyo mtu: ur best friend...wa kufa na kuzikana...mmeshibana!??

Mimi nadhani urafiki wa kawaida hauna shida (colleague) ila zaidi ya hapo ni hatari...we are human beings my dear..usijaribu majaribu!!!
 
Last edited by a moderator:

sawa kaka Mentor
ngoja niache urafiki na hawa
mabeste wangu,ila sasa marafiki
wa kike nao ni shughuli ujue!!bora kua alone basi!!
 
Last edited by a moderator:

sawa kaka Mentor
ngoja niache urafiki na hawa
mabeste wangu,ila sasa marafiki
wa kike nao ni shughuli ujue!!bora kua alone basi!!

Don't quote me wrong my dear...urafiki ni muhimu...hauepukiki ila huu wa KUSHIBANA!!!!!!!!!!! my dear..shibana na mumeo/mkeo!
 
Daud Omar, yap urafiki unaweza kuwepo wa kawaida lakini inahitaji umakini wa khali ya juu maana ni vigumu kuujua moyo wa mtu. Nilishawahi kuwa na rafiki mdada na tulishibana vilivyo, na kwa wakati huo nilikuwa namjua hata boy friend wake. Mimi nilikuwa namheshimu kama dada na rafiki yangu, pia nikafikiri mwenzangu pia ananichukulia hivyohivyo.

Nakumbuka siku moja alikuja kunitembelea nyumbani kwangu, tukapiga stori za hapa na pale, na ni mara nyingi ananitembelea au mi namtembelea lakini siku nikashangaa mdada amenibadilikia ananiomba nimkumbatie aiseeee kwanza nilistuka sana kwa kuwa sijategemea, nikajua ananitania, mara kainuka akaja kunikumbatia, nikamwambia haya imetosha niachie akazidi kunishika kusiko staili aiseee nilimsukuma na kumsindikiza. Alinichukia na hatukuongea kama wiki 2 hivi baadae akaniomba msamaha, yakaisha. Cha msingi tahadhari kubwa iwepo

Ni wachache sana wenye moyo kama wa kwako, wengine hapo wangekua wameshapata ugonjwa wa kuweweseka
 
Don't quote me wrong my dear...urafiki ni muhimu...hauepukiki ila huu wa KUSHIBANA!!!!!!!!!!! my dear..shibana na mumeo/mkeo!

mi napenda urafiki na wakaka wenye
akili ya kutafuta,kupeana ishu za maana
kwny upatikanaji ngawira,nikiona mtu c wa hivyo
hua namuepuka bila kugombana nae ingawa wengine
akishaona unamkwepa anaanzisha vita wakati hawezi!!
ila kuna urafiki wa faida lkn rafiki yangu wa karibu zaidi
ni my husbnd wangu!!!!!
 
ume toku xana mdada ila mwisho ndo umetoku pwent aseeee!!!!!
 
mi napenda urafiki na wakaka wenye
akili ya kutafuta,kupeana ishu za maana
kwny upatikanaji ngawira,nikiona mtu c wa hivyo
hua namuepuka bila kugombana nae ingawa wengine
akishaona unamkwepa anaanzisha vita wakati hawezi!!
ila kuna urafiki wa faida lkn rafiki yangu wa karibu zaidi
ni my husbnd wangu!!!!!

rafiki yangu wa karibu zaidi
ni my husbnd wangu!!!!!

rafiki yangu wa karibu zaidi
ni my husbnd wangu!!!!!

rafiki yangu wa karibu zaidi
ni my husbnd wangu!!!!!

HApo tumeelewana...marhabaaaaa!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom