......Hivi kuna uwezekano wa kuwepo urafiki wa kawaidi tu wakushibana tena wa muda mrefu kati ya Mwanamume na Mwanamke tofauti na wakimapenzi??.....
- Upo! ,Ntakupa mfano: Je unamfahamu Mzee Small na Bi chau. Hawa licha ya kufanya kazi pamoja walikuwa na wanaendelea kuwa marafiki wa kawaida walioshibana.
Me nina kaka mmja hiv ni rafiki yangu vibaya mno na niwa miaka lkn ndani yake hakuna kinachoendelea ni urafiki tu wa kawaida, cjui kwa wengine ila kwangu ni wakawaida tu, hadi nimemtafutia mpenzi na sasa wametangaza ndoa wanaoana nadhani ni maamuzi yenu tu
Hivi kuna uwezekano wa kuwepo urafiki wa kawaidi tu wakushibana tena wa muda mrefu kati ya Mwanamume na Mwanamke tofauti na wakimapenzi??, Au ndio wizi mtupu..
-Na kama upo, hivi unakuwaje??
-Unakuwa kama urafiki mwingine au vp??
-Na wewe ambae mwenza wako anakuambia yule ni rafki yangu wa muda mrefu unamchukuliaje??
Manaake hi ni sawa na kuwa na zizi la kondoo ndani yake kuna chui, hata akiona maziwa anadai kuwa ni tui..
Aggggrrr!!.. nimeshmchoka kila siku yule ni lafki yangu, Aa!ah!! mim sitaki tena jamaa ana nibia tu hakuna lolote.. WEIZII! tu hawa..Alikuwa akilalama hivyo kakaangu wa 3 kumfuata baada ya kutuita ndugu na jamaa tumshauri juu ya hatma ya ndoa yake yenye miaka mitatu sasa Baada ya mke wake kila anapoonekana basi anaonekana na huyo jamaa ambaye anadai kuwa ni rafiki yake wa muda mrefu na imekuwa kama bahati kwake wao kukutana kazini, Mke alijitetea na kusema kaka yenu ana wivu tu,mbaya zaidi wanafanyia kazi ofisi moja..mhh! Ahya! ya kweli??.. Ama??
Jamani ni wizi au lah!??..
Me nina kaka mmja hiv ni rafiki yangu vibaya mno na niwa miaka lkn ndani yake hakuna kinachoendelea ni urafiki tu wa kawaida, cjui kwa wengine ila kwangu ni wakawaida tu, hadi nimemtafutia mpenzi na sasa wametangaza ndoa wanaoana nadhani ni maamuzi yenu tu
Huyo alikuwa mgonjwa na sasa amepona
Rafiki wa kweli hukufaa wakati wa dhiki sasa hao kama ni marafiki wa muda mrefu maana yake wamekuwa wakifaana kwa muda mrefu mbona amechelewa kushituka wakati wamefaana sana ?
Yeah, urafiki unawezekana kati ya mwanamke na mwanaume...... Halafu hapo mafeeling lazima uyape likizo aisee
Huyo alikuwa mgonjwa na sasa amepona
Rafiki wa kweli hukufaa wakati wa dhiki sasa hao kama ni marafiki wa muda mrefu maana yake wamekuwa wakifaana kwa muda mrefu mbona amechelewa kushituka wakati wamefaana sana ?
Inawezekana, mie kampani yangu kubwa ni wanaume. Wale ambao ni wadhaifu wakitupia ndoani nawapa makavu live.... "Ee bana eeh mie na wewe hatuwezi kwua wapenzi asilani" full stop kama vipi asepe na urafiki ufe. Kama ni muelewa urafiki unaendelea kama kawa!
Huyo alikuwa mgonjwa na sasa amepona
Rafiki wa kweli hukufaa wakati wa dhiki sasa hao kama ni marafiki wa muda mrefu maana yake wamekuwa wakifaana kwa muda mrefu mbona amechelewa kushituka wakati wamefaana sana ?
Mshinga njoo umjibu huyu jamaa...
Huyo alikuwa mgonjwa na sasa amepona
Rafiki wa kweli hukufaa wakati wa dhiki sasa hao kama ni marafiki wa muda mrefu maana yake wamekuwa wakifaana kwa muda mrefu mbona amechelewa kushituka wakati wamefaana sana ?
ni kweli kabisa mkuu hata siku moja simba hawezi kukaa zizi moja na mbuzi au tangulini ukamuona fisi anauza nyama buchani?