Ni kwanini watusi hutumia kigezo cha "pua na macho"kutambuana?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
katika kutembea kwangu hapa africa mashariki sijawahi kukutana na KABILA LA WATUSI wala kusikia mtu akizungumza KITUSI ikiwa lugha mama kama vile kihaya, kisukuma, kimakonde, kilugulu na kadhalika ?

Lakini kuna watu wanajiita sisi ni WATUSI NA itikadi hizi zipo haswa nchi kama vile rwanda,burundi, congo,uganda na tanzania.

Hapa kwetu tanzania ukifika mikoa kama vile kigoma, kagera, tabora, mwanza na hata shinyanga.

Unakuta mtu anakwambia mimi kabila langu ni MUHAYA AU MUHA ila asili yangu ni MTUSI kisa macho na pua ndo kigezo chao kikubwaaa.

JE NI KWANINI KIGEZO HIKI HUTUMIKA KATIKA WATU HAWA KUFAHAMIANA?
 
Pua ndio huonekana kirahisi zaidi
Ila mimi kinachonishangaza unakuta mtu anaetokea mathalani kagera, kigoma au tabora akiwa huku mjini dar anajiita mimi ni muhaya mwingine muha mwingine mnyamwezi au msukuma hapendi kusema mimi ni mtusi kabisa.

Ila ukimkuta kwao mathalani kigoma ,mwanza, tabora kagera anakwambia mimi ni mtusii bana
 
Duu kipindi nipo tabora kuna vijiji na maeno yanaitwa UTUSINI .
wakija wenyeji wa tabora mtatufafanulia zaidi
 
unaandaa genocide ya pili?


mnyaru au Tutsi mtambue kwa macho yamrudi kwa ndani, pua na shingo ndefu, dental formula yao, masikio yamekaa kama dish LA kontinenta, height yao wengi kuanzia futi 5,
 
unaandaa genocide ya pili?


mnyaru au Tutsi mtambue kwa macho yamrudi kwa ndani, pua na shingo ndefu, dental formula yao, masikio yamekaa kama dish LA kontinenta, height yao wengi kuanzia futi 5,
Hamna mkuu aiseee eti mnyaruu
 
Mie huitwa mtus kwani Nina pua na shingo lefu, nywele singasinga, midomo meusi meno meupe, shape Mmmh, ni mrefu kabisa, na ni legelege kama wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…