Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
katika kutembea kwangu hapa africa mashariki sijawahi kukutana na KABILA LA WATUSI wala kusikia mtu akizungumza KITUSI ikiwa lugha mama kama vile kihaya, kisukuma, kimakonde, kilugulu na kadhalika ?
Lakini kuna watu wanajiita sisi ni WATUSI NA itikadi hizi zipo haswa nchi kama vile rwanda,burundi, congo,uganda na tanzania.
Hapa kwetu tanzania ukifika mikoa kama vile kigoma, kagera, tabora, mwanza na hata shinyanga.
Unakuta mtu anakwambia mimi kabila langu ni MUHAYA AU MUHA ila asili yangu ni MTUSI kisa macho na pua ndo kigezo chao kikubwaaa.
JE NI KWANINI KIGEZO HIKI HUTUMIKA KATIKA WATU HAWA KUFAHAMIANA?