Ni kwanini watu wengi hasa watanzania wanaipenda Rwanda?

Mod utanisamehe maana wanajaza tu post awaendi kwenye point ngoja twende jukwaletu bana
 
Hatuipendi Rwanda bali tunapenda Dada zenu wa kinyarwanda ni wazur sana
 
Mani amekuambia anaipenda Rwanda!hisia zako usilazimishe watu kuipenda Rwanda na kama nijuavyo wanyarwanda ndo wanaoipenda Tanzania mfano uliotoa watu Wa pembezoni wanaipenda Rwanda lakini cha msingi hao wanaoipenda Rwanda ni wanyarwanda walio uhamishoni nchini na waulize walifikaje Tanzania jibu utalipata!
 
Rwanda nahc katika Africa inaongoza kwa kua na wanawake na warembo wazuri zaidi. I also ponder to marry a woman from Rwanda. Help me God!
Kuoa mnyarwanda ujihakikishie utajiri milele na pumzi ya kumtombba vinginevyo utatombbewa tu.
 
Wadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..

Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..

Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..

Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..

Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,

Tumekosa uzalendo?

Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?

Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..

Naomba kutoa hoja.
Mahoro Inshuti reka nkubwire.....hakuna watu wanafiki hapa duniani kama wanyarwanda......ni waongo saana na kila mtu anajifanya mzalendo huko kutokana na hofu ya kumuogopa the hitler of africa paul kagabo kagame. wanyarwanda wana hofu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe na hakuna urafiki wa kweli kati ya wahutu na watutsi........kuhusu maendeleo asikudanganye mtu sisi tanzania tumeendelea mara milion zaidi ya rwanda...kwa unafiki wanaoutumia kuudanganya ulimwengu ni ile hali ya kuparemba kigali na kuumanisha umma kua rwanda yoote ndio ipo hivyo.....try this vuka mpaka wa rusumo nenda mpka kirehe then kabla haujafika nyakarambi kata kushoto then nenda huko milimani dagaza kati gahara sector huko utakuta wanyarwanda wanaoishi maisha ya kijima zaidi ya unavyofikiria niliwa kwenda kwenye mradi mmoja wa wagengen pantanjilin society ya waholanzi nikakaa wiki nzima huko kuna tv ya kijiji na jioni kila mtu anaenda gulion na umeme ukiashwa tu hiyo saa moja basi ni taarifa za habari na kama inavyojulikana asilimia 99 ya habari za rwanda ni kumsifia kagame tu na umungu mtu wake......hapo bado hujaenda huko musanze ruhenjeri karibia na gisenyi kwenye mpaka wa rwanda na congo, huja enda changugu kuna dhiki za kufa mtu....

wale jamaa kwanza wana njaa iliotukuka kuna wanyarwanda wengi taingia wazaliwe hawajawahi kula samaki...wafite ivishimbo yaani maharage na ivirai yaaani viazi ulaya na ichitoki yaani ndizi na amata maziwa nyama anasa huko, ndio maana wakija huku hawataki kurudi kwao... the only thing i love from rwanda ni madem zao tu huko kuna wanawake wazuri wana vi..si...mi virefu basi ukipiga juu dakika mbili tatu unaikia ariko mana yanje sheri ndashaka kunyara, uwi ufite vyose, ndagukunda chane hapo atarusha maji hadi lita ishirini...
ila hayo mengine ni uzushi tu.
 
Umechemsha wale awaitaji sex mpwaa ukiwagabyale maji kila siku hata uwaletee wakewenza awana shida..shidamoja n kumwaga ajiyao kabla ujamwaga wazungu wako
 
Kwa vijana washindia chipsi kumwaga Yale Maji ujipange.
 
Ni zama za matukio tu na ni nini kina wika kwa wakati huo...

Kama enzi za South Africa ilivyokuwa inawika sana kwenye mawazo ya watanzania... Karibia vijana wengine walikuwa wanawaza kwenda bondeni a.k.a kwa madiba...

Cc: mahondaw
 
Mahoro Inshuti reka nkubwire.....hakuna watu wanafiki hapa duniani kama wanyarwanda......ni waongo saana na kila mtu anajifanya mzalendo huko kutokana na hofu ya kumuogopa the hitler of africa paul kagabo kagame. wanyarwanda wana hofu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe na hakuna urafiki wa kweli kati ya wahutu na watutsi........kuhusu maendeleo asikudanganye mtu sisi tanzania tumeendelea mara milion zaidi ya rwanda...kwa unafiki wanaoutumia kuudanganya ulimwengu ni ile hali ya kuparemba kigali na kuumanisha umma kua rwanda yoote ndio ipo hivyo.....try this vuka mpaka wa rusumo nenda mpka kirehe then kabla haujafika nyakarambi kata kushoto then nenda huko milimani dagaza kati gahara sector huko utakuta wanyarwanda wanaoishi maisha ya kijima zaidi ya unavyofikiria niliwa kwenda kwenye mradi mmoja wa wagengen pantanjilin society ya waholanzi nikakaa wiki nzima huko kuna tv ya kijiji na jioni kila mtu anaenda gulion na umeme ukiashwa tu hiyo saa moja basi ni taarifa za habari na kama inavyojulikana asilimia 99 ya habari za rwanda ni kumsifia kagame tu na umungu mtu wake......hapo bado hujaenda huko musanze ruhenjeri karibia na gisenyi kwenye mpaka wa rwanda na congo, huja enda changugu kuna dhiki za kufa mtu....

wale jamaa kwanza wana njaa iliotukuka kuna wanyarwanda wengi taingia wazaliwe hawajawahi kula samaki...wafite ivishimbo yaani maharage na ivirai yaaani viazi ulaya na ichitoki yaani ndizi na amata maziwa nyama anasa huko, ndio maana wakija huku hawataki kurudi kwao... the only thing i love from rwanda ni madem zao tu huko kuna wanawake wazuri wana vi..si...mi virefu basi ukipiga juu dakika mbili tatu unaikia ariko mana yanje sheri ndashaka kunyara, uwi ufite vyose, ndagukunda chane hapo atarusha maji hadi lita ishirini...
ila hayo mengine ni uzushi tu.
Nimeipenda zaidi stori yako umeongea ukweli mtupu.Unaijua Rwanda nje ndani.
 
Wadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..

Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..

Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..

Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..

Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,

Tumekosa uzalendo?

Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?

Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..

Naomba kutoa hoja.
Na wasiwasi na uraia wako kwasababu huitaji akili nyingi kujua mbongo anachosema na anachomaanisha ni vitu viwili tofauti. Hii ni nchi ya sound na fitna. Sasa nyie jidanganyeni mnapendwa.
 
Nimeipenda zaidi stori yako umeongea ukweli mtupu.Unaijua Rwanda nje ndani.

ndio hivyo mkuu mi huko mwenyeji sana, nina rafiki zangu wanajeshi wastaaafu hua wakitaka tuiongelee rwanda wanazima hadi simu zao, na kuhakikisha hakuna anaeweza kusikia basi hapo ndio wanafunguka ukweli na kuonyesha hasira zao dhidi ya kagame.....
 
Hata wewe ukitembelea utapapenda,vitu vichache vilivyovutia Rwanda:

Usalama- Hakuna Panya Road mateja, watoto wa Road n.k tembea hata Saa tisa usiku hakuna kukabwa. Askari wapo kila kona,wamekaa pembeni hawana habari na mtu, hawakuulizi kitambulisho. Ukiwa na Shida wakakusaidia kwa Roho moja.

Usafi: Sijui nikueleze vipi uelewe , mji ni msafi sana, mitaro yote misafi, hukuti mfuko wa Rambo barabarani, cha kushangaza huwaoni wale wamama wanafagia barabara. Kuna Road Sweeper zinapita Usiku.

Umeme: Umeme haukatiki, Traffic Lights zinafanyakazi, Street Lights , Vituo vya Mabasi wameweka taa. Pia kwenye lami wamewekazile Cat Eyes zinazowaka taa.

Free Wifi:
Maeneo mengi City Center kuna Free Wifi, iko very fast.

Kigali International Airport:
Hawa watu wana moja kati Advanced Airport Africa, kwa Locals wana machine za kuscan macho, nna maana wakiwa wanarudi ndani ya nchi hawapiti Kwenye dirisha la uhamiaji, wanaenda kwenye hiyo mashine, una tiuch passport yako, una scan jicho , kama mambo yakiwa sawa gate linafunguka.

Warembo:
Hili linajulikana

Future:
Rwanda imeingia kwenye Biashara ya Ndege: nilipanda ndege yao kutokea London hadi Kigali, nishapanda ndege nyingine kama Kenya Na Ethiopia, kusema ukweli hawako mbali sana na hizo kampuni 2. Kama watapata Sponsor wa kuwaongezea fleet kutoka 11 hadi kwenye 30, basi atamuondoa Atamuondoa Either Kenya au Ethiopia kuwa Moja ya kumpuni Bora ya Ndege Africa.
 
Back
Top Bottom