Wadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..
Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..
Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..
Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..
Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,
Tumekosa uzalendo?
Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?
Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..
Naomba kutoa hoja.