Ni kwanini watu wengi hasa watanzania wanaipenda Rwanda?

Ni kwanini watu wengi hasa watanzania wanaipenda Rwanda?

Ukifika rwanda unaona kabisa wananchi hawana furaha machoni mwao... nilifika kigali hotel niliyofikia wafanyakazi walikuwa wananionea wivu baada ya kugundua ni m Tanzania.. kila nikikaa garden nakunywa bia wanaiomba niwaelezee kuhusu Tanzania na Dar es salaam... na swali nililoulizwa mara nyingi ni why Tanzanian loves each other na kuna peace miaka yote
Wanatamani sana kuishi Tanzania na wengine wapate wenza ili waweze kuishi Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio Tanzania haina wanawake kama hao? Ndugu nenda singida pale,Tabora kwa wanyamwezi,Kaskazini ya Tanzania,kusini kule ukawakute wanyaki waliifuga makalio.Bado hujaenda bukoba, kigoma.Rwanda kuna mwanamke mwenye sura moja inayofanana.Tanzania kuna sura zote kuanzia Nilotics,Bantu Xhosa,kush wote wapo Tanzania.Tanzania inawanawake wazuri kuliko hao ngedere was Rwanda.Nenda Tanga utakutana na watoto shombeshombe ukichomoka we we mwanaume.
 
Tutake radhi wa Tz
Hivi tuipende nchi masikini yenye taabu kama Rwanda?
Rwanda ni nchi ya kupuuz kama Sudani kusin,somalia,Yemen,Afghanistan na Chertle
 
Mahoro Inshuti reka nkubwire.....hakuna watu wanafiki hapa duniani kama wanyarwanda......ni waongo saana na kila mtu anajifanya mzalendo huko kutokana na hofu ya kumuogopa the hitler of africa paul kagabo kagame. wanyarwanda wana hofu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe na hakuna urafiki wa kweli kati ya wahutu na watutsi........kuhusu maendeleo asikudanganye mtu sisi tanzania tumeendelea mara milion zaidi ya rwanda...kwa unafiki wanaoutumia kuudanganya ulimwengu ni ile hali ya kuparemba kigali na kuumanisha umma kua rwanda yoote ndio ipo hivyo.....try this vuka mpaka wa rusumo nenda mpka kirehe then kabla haujafika nyakarambi kata kushoto then nenda huko milimani dagaza kati gahara sector huko utakuta wanyarwanda wanaoishi maisha ya kijima zaidi ya unavyofikiria niliwa kwenda kwenye mradi mmoja wa wagengen pantanjilin society ya waholanzi nikakaa wiki nzima huko kuna tv ya kijiji na jioni kila mtu anaenda gulion na umeme ukiashwa tu hiyo saa moja basi ni taarifa za habari na kama inavyojulikana asilimia 99 ya habari za rwanda ni kumsifia kagame tu na umungu mtu wake......hapo bado hujaenda huko musanze ruhenjeri karibia na gisenyi kwenye mpaka wa rwanda na congo, huja enda changugu kuna dhiki za kufa mtu....

wale jamaa kwanza wana njaa iliotukuka kuna wanyarwanda wengi taingia wazaliwe hawajawahi kula samaki...wafite ivishimbo yaani maharage na ivirai yaaani viazi ulaya na ichitoki yaani ndizi na amata maziwa nyama anasa huko, ndio maana wakija huku hawataki kurudi kwao... the only thing i love from rwanda ni madem zao tu huko kuna wanawake wazuri wana vi..si...mi virefu basi ukipiga juu dakika mbili tatu unaikia ariko mana yanje sheri ndashaka kunyara, uwi ufite vyose, ndagukunda chane hapo atarusha maji hadi lita ishirini...
ila hayo mengine ni uzushi tu.
[emoji3]

Bro, nifunze Kinyarwanda..
 
Back
Top Bottom