Ni kwanini watu wengi hasa watanzania wanaipenda Rwanda?

Rwanda nahc katika Africa inaongoza kwa kua na wanawake na warembo wazuri zaidi. I also ponder to marry a woman from Rwanda. Help me God!
Hahah ni wazuri ila wanapenda kushobokea boys wenye pesa. So utaishi naye ila akitokea boy mwenye pesa zaidi yako au mwenye gari kali nyumba kali kukuzidi jua atakukimbia
 
Watu wengi Hao wangapi??? Kwa sababu sijawahi ifikiria hiyo nchi Hata siku moja.
Kumbe wapo wanokumbuka majirani zetu..!
 
Wadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..

Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..

Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..

Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..

Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,

Tumekosa uzalendo?

Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?

Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..

Naomba kutoa hoja.
binafsi naipenda rwanda kwasababu ya dada zao wale wenye shingo za twiga
 
Nyinyi mmetoka kuchinjana juzi kwa visu mapanga na mashoka?..mlikua mnatafutana nyumba kwa nyumba na kukatana kama nyani!!..rwanda ipendwe Tanzania?..nchi yenye viumbe wa ajabu kama hiyo ndio ipendwe Tanzania? Acha masihara braza!!..hatuwezi kupenda wanyama pori sisi tunapenda binadamu wenzetu
 
Wadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..

Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..

Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..

Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..

Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,

Tumekosa uzalendo?

Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?

Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..

Naomba kutoa hoja.
Rwanda ni nchi inayoongozwa na dikteta,ni dikteta pekee katika ukanda wa afrika mashariki na kati
 
Rwanda nahc katika Africa inaongoza kwa kua na wanawake na warembo wazuri zaidi. I also ponder to marry a woman from Rwanda. Help me God!
Watusi wana tabia moja,kama wewe si mtusi hatazaa na wewe, atamwita hata kaka yake ampe mimba azae,ukimuoa utarajie ubaguzi wa hali ya juu kama wanavyowabagua wahutu,Watusi ni wabaguzi daraja la kwanza duniani
 
Hili lijamaa liongo sana aisee!! Huo utafiti kaufanya lini na wapi?
 
wapo walioipenda zamani, siku hizi upepo wa kisiasa umebadilika nao wanaichUkia...
Rwanda ni nchi masikini sana, ila wanajitahidi kujikomboa kuna mengi mazuri ya kujifunza huko...
Muongo bro Rwanda maskini vp ilihali hakuna nyumba ya nyasi hata moja pia system yao ya life ni mzuri kuliko inchi yeyote Ya Africa mashariki pia pesa yao ipo juu kuliko Tz vp leo useme uongo?
 
fikra zako hizo mleta mada. jina lako tu lenyewe linafafanua hilo!
 
Wadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..

Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..

Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..

Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..

Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,

Tumekosa uzalendo?

Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?

Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..

Naomba kutoa hoja.
Wamekuhaidi mke wakinyaruu nn
 
Rwanda nahc katika Africa inaongoza kwa kua na wanawake na warembo wazuri zaidi. I also ponder to marry a woman from Rwanda. Help me God!
Wanawake wazuri wako nyumbani kwakoo haoo unaowaona Rwanda uliza waume zao wanatamani kuja kuishi boda za Tanganyika...Fanya research.na ma befriend wajanja walisha wakimbia mpwa kama awako France .ubelgiji aama pale pocho lao LA maikocheni .enjoy urs
 
mkuu Pdidy, mleta mada ni mnyarwanda bila ubishi
Namwelewa fika...mpwaa...namwona mwingine anasifia mabinti wao wazuri ajawahi kusikia yanayoendelea ishi nao kwa akili ule mstari was bible uliwekwa kwa wale mabinti was kinyaruu.waume wanaisoma namba...nashida kubwa mke ana binti ana faranga kupita waanaume ....wakiwapenda hata wabeba makopo wale hunachakufanya ukijiandaa hill kilalakheri
 
Anayeisifia Rwanda na wanyarwanda basi haijui wala hawajui Wanyarwanda..... Ktk EA ingawa watu wanasema Wakenya siyo wakarimu.... I can guarantee you kwamba pengine wakenya wana utu kuliko Wanyarwanda..... Rwandese are extremely unfriendly and oversuspicious..... Huwa nikona wanawasifia huwa nawahurumia sana Watanzania. Askari wao wanamuona kila asiyemnyarwanda au mtusi kuwa ni mwizi na gaidi anayetaka kuipindua nchi yao.... Ptuuuuuuuuuu!!!! Naweza kwenda Rwanda only if napita tu na siyo kukaa!!!!
 
Labda niwekwenye coffin to dar khe...ukikosana naoo kidogo unaweza nyeadebe na kesiyakubaka
 
Sitosahauu mpwa kamoja nilikuwanacho ujananii nkajichanganya kwa mrundi rafiiki take ukweli mrundi anajuamapenzi anajua kupenda nkaibia mwisho nkakaacha kakantishia kha nkamwambia tukiwakwenu sawa huko DSM..utaliawewe...haha nilimtesa acha maana kabintikankurunzinza kilankakiwa beach Mara ..kanapiga picha...namiimi..nacho kalipoanzamzinga nkakimbia ooh mamaanaumwa nisaidie naulikwenda na kurudi the m ndio nilimpa ugonjwaa
 
Back
Top Bottom