mtundu27
Member
- Jul 17, 2018
- 78
- 123
Habarini wakuu! Natumai mu wazima wa afya.
Kuna jambo nimekuwa nikiliwaza kwa muda mrefu sana hawa viumbe wa kike wanaojiuza ila nashindwa kupata jibu stahiki.
Mimi ni mtu wa kutembea viwanja mbalimbali baada ya kazi na sehemu ninazotembeaga 'malaya' huwa wapo tu kiukweli, na cha kushangaza ni kila mara wako katika hali ile ile, yaani ulevi wa kupindukia na kadhalika.
Kuna ambao wanatengeza hadi laki kwa siku kwa kulala na wanaume tofauti lakini siku ukiamua kumnunulia bia mbili tatu, utashangaa anakwambia bado amepanga chumba kimoja.
Embu tusaidianie kujua kwanini hawa watu ambao wengine wanakipato cha zaidi ya ma manager wengi tz kwa mwezi lakini maendeleo yao ni duni.
Karibuni tujadiliane.

Last edited by a moderator: