Ni kwanini Wanawake wanaofanya biashara ya kujiuza hawana maendeleo?

Habarini wakuu! Natumai mu wazima wa afya.
Kuna jambo nimekuwa nikiliwaza kwa mda mrefu sana hawa viumbe wa kike wanaojiuza ila nashindwa kupata jibu stahiki.
Mimi ni mtu wa kutembea viwanja mbali mbali baada ya kazi na sehemu nazotembeaga malaya huwa wapo tu kiukweli, na cha kushangaza ni kila mara wako katika hali ile ile, yaani ulevi wa kupindukia na kadhalika.
Kuna ambao wanatengeza hadi laki kwa siku kwa kulala na wanaume tofauti lakini siku ukiamua kumnunulia bia mbili tatu, utashangaa anakwambia bado amepanga chumba kimoja.
Embu tusaidianie kujua kwanini hawa watu ambao wengine wanakipato cha zaidi ya ma manager wengi tz kwa mwezi lakini maendeleo yao ni duni.
Karibuni tujadiliane.
Kazi ya laana sawa na mwenye kudhulumu, mcheza kamari pesa hazina baraka
 
sasa malaya gani anaingiza hizo pesa??

Wengi wanaliwa kwa 20000 siku amepata saana 6000. hapo toa

pesa ya supu asubuhi 2500.

mchana atakula...5000

jioni atakula na kunywa sio chini ya 10000.

atalipa kodi na kununua manukato.

hawana pesayoyote.
Unawajua malaya au unazungumzia wake wa uwanja wa fisi manzese? Kuna malaya wanatengeneza laki au zaidi kwa siku, wako serena, wengine new africa, dodoma wako rainbow, malaika na kadhalika. Sizungumzii vinuka jasho.
 
Habarini wakuu! Natumai mu wazima wa afya.

Kuna jambo nimekuwa nikiliwaza kwa muda mrefu sana hawa viumbe wa kike wanaojiuza ila nashindwa kupata jibu stahiki.
Mimi ni mtu wa kutembea viwanja mbalimbali baada ya kazi na sehemu ninazotembeaga 'malaya' huwa wapo tu kiukweli, na cha kushangaza ni kila mara wako katika hali ile ile, yaani ulevi wa kupindukia na kadhalika.

Kuna ambao wanatengeza hadi laki kwa siku kwa kulala na wanaume tofauti lakini siku ukiamua kumnunulia bia mbili tatu, utashangaa anakwambia bado amepanga chumba kimoja.

Embu tusaidianie kujua kwanini hawa watu ambao wengine wanakipato cha zaidi ya ma manager wengi tz kwa mwezi lakini maendeleo yao ni duni.

Karibuni tujadiliane.
kwao wana majumba huko vijijni !tena wanasema wanafanya kazi hotel za ktalii
 
Kulala tu na wanaume tofauti tofauti tayari ni mikosi, gundu na mafungamo hata wewe unayemnunua Malaya unajifungamanishia na magundu yake unashangaa mambo yako hayaendi
 
Mkuu unajua biashara ya ukahaba ina mikosi yake sana.binafsi sijaonaga hata aliyeweza jenga hata ka geto kwa hela ya kuuza k
I agree with you tena wanaume wanaowanunua na wao sio wazima kwenye mambo mengi, ujue kubeba mafungamo ya wanaume tofauti tofauti si kazi rahisi ni gundu tosha
 
sasa malaya gani anaingiza hizo pesa??

Wengi wanaliwa kwa 20000 siku amepata saana 6000. hapo toa

pesa ya supu asubuhi 2500.

mchana atakula...5000

jioni atakula na kunywa sio chini ya 10000.

atalipa kodi na kununua manukato.

hawana pesayoyote.
Umefanya had calculation
 
Kulala tu na wanaume tofauti tofauti tayari ni mikosi, gundu na mafungamo hata wewe unayemnunua Malaya unajifungamanishia na magundu yake unashangaa mambo yako hayaendi

Imani kitu cha ajabu sana. Magundu yepi kutoka wapi?.
Watu wanaongezewa damu kutoka binadamu tofauti na hatujasikia hiyo makitu ije kuwa kumla nyuchi Mara moja tu ndio ilete gundu??.
 
Ile kitu tumepewa itusaidie uzazi; walau Mwenyezi MUNGU akaweka kautam kidogo ili watu wasisuse kuzaliana; pia akaweka ka upendo ka asili kwa watoto na kuwapa ulinzi kamili.

Sasa unapotumia sehemu hiyo kwa biashara ama starehe unamkosea Muumba wako; ni laana wewe na kizazi chako. Unaweza kukuta familia moja mama changu mzoefu; watoto wa kike machangu underground; mitoto ya kiume mishoga bange madawa; familia nzima ni matatizo matupu.
 
Habarini wakuu! Natumai mu wazima wa afya.

Kuna jambo nimekuwa nikiliwaza kwa muda mrefu sana hawa viumbe wa kike wanaojiuza ila nashindwa kupata jibu stahiki.
Mimi ni mtu wa kutembea viwanja mbalimbali baada ya kazi na sehemu ninazotembeaga 'malaya' huwa wapo tu kiukweli, na cha kushangaza ni kila mara wako katika hali ile ile, yaani ulevi wa kupindukia na kadhalika.

Kuna ambao wanatengeza hadi laki kwa siku kwa kulala na wanaume tofauti lakini siku ukiamua kumnunulia bia mbili tatu, utashangaa anakwambia bado amepanga chumba kimoja.

Embu tusaidianie kujua kwanini hawa watu ambao wengine wanakipato cha zaidi ya ma manager wengi tz kwa mwezi lakini maendeleo yao ni duni.

Karibuni tujadiliane.
Pesa zile huwa zinakuwa na laana!
 
Inategemea MTU na MTU na akili zake katika kuweka akiba. Kama ambavyo katika kazi nyingine zilizo rasmi kuna watu ambao huwezi kuona hela yao inafanya nini vivyo hivyo kwenye kuuza K, wapo wanaomake na wafuliaji pia.

Biashara kongwe hii, isingekuwa na maprofit ya ukweli ingeshapotea. Binafsi nawafahamu wauza papa waliotoboza na waliofulia.
 
sasa malaya gani anaingiza hizo pesa??

Wengi wanaliwa kwa 20000 siku amepata saana 6000. hapo toa

pesa ya supu asubuhi 2500.

mchana atakula...5000

jioni atakula na kunywa sio chini ya 10000.

atalipa kodi na kununua manukato.

hawana pesayoyote.
Naona umechanganua fuleshiii😂
 
Ile kitu tumepewa itusaidie uzazi; walau Mwenyezi MUNGU akaweka kautam kidogo ili watu wasisuse kuzaliana; pia akaweka ka upendo ka asili kwa watoto na kuwapa ulinzi kamili.

Sasa unapotumia sehemu hiyo kwa biashara ama starehe unamkosea Muumba wako; ni laana wewe na kizazi chako. Unaweza kukuta familia moja mama changu mzoefu; watoto wa kike machangu underground; mitoto ya kiume mishoga bange madawa; familia nzima ni matatizo matupu.
mbona hata mkeo amefanya hicho kitu ni biashara!!..anakuuzia wewe,unamuhudumia maisha yako yote kwa starehe ya dk 40 na kukuzalia watoto,tena mke ndo ananufaika na biashara yake kuliko anaezagaa mitaani..ana bima ya maisha
 
Back
Top Bottom