Njoo Arusha au nenda Moshi ndio utajua hujui. Nakupa hii tu ...alikwenda kuswali, aliporudi nyumbani akaanza kujisikia vibaya, akapelekwa hospitali , ilikuwa ni tatizo la kupumua kwa shidasijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa!
jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary. Imefikia point kama taifa tunatangaza tuna wagonjwa mia ngapi sijui katika watu milion 60! serius?
tuchukue tahadhari ila tusiupe cheo ugonjwa huu kama tunavyofanya sasa. Hofu ikirudi tatizo tunalikuza upya. Hofu ikirudi ugonjwa utarudi mara milion 1 na tutapata lock down ya u lazima.
hakuna haja ya haya yanayofanyika sasa, Corona tulikwisha ishinda kama taifa mwaka mmoja uliopita tusitishane tena na hakuna lolote jipya ambalo sisi tunaweza kulifanya kwa sasa dhidi ya ugonjwa huu. Sisi tumekwisha ushinda ugonjwa huu muda mrefu sasa hakuna haja ya kutaja taja namba za kujitungia tungia tu kutisha watu na kuukuza ugonjwa upya.
kama mtu anataka chanjo basi akachanjwe na asietaka basi asitake.
sad.
Tatizo ni Samia.sijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa!
jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary. Imefikia point kama taifa tunatangaza tuna wagonjwa mia ngapi sijui katika watu milion 60! serius?
tuchukue tahadhari ila tusiupe cheo ugonjwa huu kama tunavyofanya sasa. Hofu ikirudi tatizo tunalikuza upya. Hofu ikirudi ugonjwa utarudi mara milion 1 na tutapata lock down ya u lazima.
hakuna haja ya haya yanayofanyika sasa, Corona tulikwisha ishinda kama taifa mwaka mmoja uliopita tusitishane tena na hakuna lolote jipya ambalo sisi tunaweza kulifanya kwa sasa dhidi ya ugonjwa huu. Sisi tumekwisha ushinda ugonjwa huu muda mrefu sasa hakuna haja ya kutaja taja namba za kujitungia tungia tu kutisha watu na kuukuza ugonjwa upya.
kama mtu anataka chanjo basi akachanjwe na asietaka basi asitake.
sad.
😂😂😂 kwani vijana hawafiMtoa mada ni kijana sasa anajiangalia yy haangali wala hajali wazee tunaopoteza kwa huu ugonjwa. Tatizo la mwafrika ni ubinafsi kama tatizo halijafika kwake basi atadai halipo au halimuhusu
Hapo sasa! Unanunua menoperem injection 20,000 Tsh/vial x 3 a day for 7 days, gown za madktari/manes 4 @120,000 , Masks N95 10,000/each -eigh per a day etc etc halafu anakufaWe acha tu,
Bora uuguze apone , unauguza ni ugonjwa expensive kwa baafhi ya hospitali kwa wasio na bima na yet mgonjwa anafariki.
Hizi ndio mind ambazo ziko brainwashed sasa. mnatumia technicalities and ambigous words kuulezea huu ugonjwa ili kweli lionekane tatizo lipo na ni kubwa sanaa.Unajua maana ya Variant?
Unajua dalili zinabadilika kutokana na aina ya virus.
Usifananishe wave ya 1 2 na 3. Tuchukue hadhari
Sio kurudi upya..ni aina nyingine ya kirusi-Delta..sijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa!
jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary. Imefikia point kama taifa tunatangaza tuna wagonjwa mia ngapi sijui katika watu milion 60! serius?
tuchukue tahadhari ila tusiupe cheo ugonjwa huu kama tunavyofanya sasa. Hofu ikirudi tatizo tunalikuza upya. Hofu ikirudi ugonjwa utarudi mara milion 1 na tutapata lock down ya u lazima.
hakuna haja ya haya yanayofanyika sasa, Corona tulikwisha ishinda kama taifa mwaka mmoja uliopita tusitishane tena na hakuna lolote jipya ambalo sisi tunaweza kulifanya kwa sasa dhidi ya ugonjwa huu. Sisi tumekwisha ushinda ugonjwa huu muda mrefu sasa hakuna haja ya kutaja taja namba za kujitungia tungia tu kutisha watu na kuukuza ugonjwa upya.
kama mtu anataka chanjo basi akachanjwe na asietaka basi asitake.
sad.
Ameandika kisiasa zaidi kuliko kitaalam..Unajua maana ya Variant?