bongo man
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,053
- 2,328
Habarini wa jamvi ..
Kwanza napenda kumshukuru mungu sanaa kwa kuniponya gonjwa hili la corona ,in short mimi ni mhanga wa hili gonjwa la corona japo now nimepona na nipo japo afya bado haijakawa sawa 100% mia kama zamani lakini nahisi nimeushinda.
Ndugu zangu ngojeni niwaambie kitu .kwanza huu ugonjwa hauna dawa sasa wala kinga hivyo basi tahadhari ni muhimu sanaa kuchukua ,nikumbushie tu kuwa kufuata njia ya wataalamu ni bora zaidi katika kujikinga na kuchukua tahadhari na kujikinga mwenyewe pia niwatoe hofu kuwa msiwe na hofu huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine tatizo lake ni moja linakuwahisha kaburini mapema .
Sasa basii niende kwe lengo langu nachotaka kusema ndugu zangu ni kwamba mazingira yetu ya kiafrica hata uvae barakoa siku nzima na ujipake sanatizer mwili mzima masaa24 hakika huwezi ikimbia corona kwa movement zetu za kila siku zinatufanya to meet na watu wanaojali na wasiojali na bahatu mbaya sheria kipofu au hakuna kabisa kudhibiti jambo hilo .
Sasa basi ukitaka upambane na korono fuata masharti yote ya wataalamu wa afya kama kunawa mikono na kadharika ila usisahau KUFANYA CHECKUP YA MWILI WAKO KILA MARA KWA MAGONJWA MBALI MBALI ikiwezekana kama unawezo kwenye scanner na yaribu hayo magonjwa hata kama hujisikii kuumwa chocchote au hauna dalili wewe corona haitokusumbua corona ukiipata inatafuta pale kwenye weakness ndani ya mwili wako ndo inakaa hapo sasa ndo utakoma nayo yani kwa mfano : kama una matatizo ya moyo ndo hali hiyo inakuwa shida zaidi na lazima ikuondoe nini cha kufanya sasa?
Kwa wake wenye matatizo ya afya chukueni tahadhari mara mia ya wale wazima unless umekwisha.ndo maana corona inaua zaidi wazee kuliko vijana coz kinga yao ipo chini .
SOMO:tuimarishe kinga kwa mavyakula na madawa yanoelekezwa na wataalamu check up za mara kwa mara na kujitibu hakika utakufa siku zinefika sio kwa corona kizembezembe.
Nawatakia weekend njema.
Sent using Jamii Forums mobile app