las Casas
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 575
- 708
Njoo Arusha au nenda Moshi ndio utajua hujui. Nakupa hii tu ...alikwenda kuswali, aliporudi nyumbani akaanza kujisikia vibaya, akapelekwa hospitali , ilikuwa ni tatizo la kupumua kwa shidasijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa!
jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary. Imefikia point kama taifa tunatangaza tuna wagonjwa mia ngapi sijui katika watu milion 60! serius?
tuchukue tahadhari ila tusiupe cheo ugonjwa huu kama tunavyofanya sasa. Hofu ikirudi tatizo tunalikuza upya. Hofu ikirudi ugonjwa utarudi mara milion 1 na tutapata lock down ya u lazima.
hakuna haja ya haya yanayofanyika sasa, Corona tulikwisha ishinda kama taifa mwaka mmoja uliopita tusitishane tena na hakuna lolote jipya ambalo sisi tunaweza kulifanya kwa sasa dhidi ya ugonjwa huu. Sisi tumekwisha ushinda ugonjwa huu muda mrefu sasa hakuna haja ya kutaja taja namba za kujitungia tungia tu kutisha watu na kuukuza ugonjwa upya.
kama mtu anataka chanjo basi akachanjwe na asietaka basi asitake.
sad.