Ni kwanini swala la Elimu halijapewa kipaumbele na vijana wa siku hizi tofauti na wale wa zamani

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,639
Kwa wale vijana wa miaka waliosoma miaka 80,90 na 2000 mwanzoni mtakuwa mnakumbuka
Swala la elimu lilivyopewa kipaumbele

1.Nakumbuka kufaulu toka la saba kwenda kidato cha kwanza vijana walikuwa wanapambana kufaulu kwenda shule serikali
Vijana akifeli anarudia afaulu

2.kufaulu kwenda kidato cha nne kupata credit tano hali ilikuwa so mchezo watu walikuwa wana risiti akikisa credit basi hata Cheti cha Form 4

Kwa kipindi kile watu wakifeli walikuwa wanafikia hatua ya kujiua kisa matokeo mabaya

Chuo kikuu ukifika ndo usiseme

Kwa kipindi kile elimu ilipewa thamani sana tofauti na sasa je shida ni nini

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Shida ni kutokuwa na akili.

ELIMU HAINA MBADALA, UKIONA MTU HAIPI KIPAUMBELE ELIMU BASI MILEMBE NDIO MAKAZI YAKE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kwa wale vijana wa miaka waliosoma miaka 80,90 na 2000 mwanzoni mtakuwa mnakumbuka
Swala la elimu lilivyopewa kipaumbele

1.Nakumbuka kufaulu toka la saba kwenda kidato cha kwanza vijana walikuwa wanapambana kufaulu kwenda shule serikali
Vijana akifeli anarudia afaulu

2.kufaulu kwenda kidato cha nne kupata credit tano hali ilikuwa so mchezo watu walikuwa wana risiti akikisa credit basi hata Cheti cha Form 4

Kwa kipindi kile watu wakifeli walikuwa wanafikia hatua ya kujiua kisa matokeo mabaya

Chuo kikuu ukifika ndo usiseme

Kwa kipindi kile elimu ilipewa thamani sana tofauti na sasa je shida ni nini

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Vijana wamestuka baada ya elimu kuwaita nyani wakati walijua wao ni watu/ kabla hawajawa na elimu
 
Niny wazee mshaanza kutusumbua tena,
Mngeipatia elimu kipaumbele saizi hii nchi tungekuwa na maprof, PhD kibao, ila hakuna kitu,

Ndio niny wazee mliojenga viwanja kila mkoa ila hamkujenga shule kila mkoa, ndio kuipa kipaumbele elimu?

Ninyi wazee mnajipa sifa mno hata za uongo aiseee
 
Kwa wale vijana wa miaka waliosoma miaka 80,90 na 2000 mwanzoni mtakuwa mnakumbuka
Swala la elimu lilivyopewa kipaumbele

1.Nakumbuka kufaulu toka la saba kwenda kidato cha kwanza vijana walikuwa wanapambana kufaulu kwenda shule serikali
Vijana akifeli anarudia afaulu

2.kufaulu kwenda kidato cha nne kupata credit tano hali ilikuwa so mchezo watu walikuwa wana risiti akikisa credit basi hata Cheti cha Form 4

Kwa kipindi kile watu wakifeli walikuwa wanafikia hatua ya kujiua kisa matokeo mabaya

Chuo kikuu ukifika ndo usiseme

Kwa kipindi kile elimu ilipewa thamani sana tofauti na sasa je shida ni nini

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Vijana unaoongelea labda wa St Kayumba na wasoma shule zile zenye Madrasa za kiislamu nenda kaangalie vijana wa shule za katoliki walivyo serious au shule za private kama Feza nk hawana mchezo na Elimu kupata division one darasa Zima sio issue na hawachezi na elimu wanasoma utafikiri Wao ndio waliotunga Elimu
 
Mkuu hizo shulee saivi hamna issue nakumbuka

Enzi zetu shule kama vile loyola,st.athony, feza, Marian,n.k zilikuwa ni shule kupata nafasi ilikuwa issue .

Saivi matangazo kibao nafasi za kujiunga na kidato cha 1

Back
Top Bottom