Ni kwanini mtu akikuacha huwa anapenda kukuona ukiteseka juu yake au umpoteza mwelekeo wa maisha?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Huwa ninajiuliza ni kwanini akikuacha huwa anapenda kukuona ukiteseka juu yake au unapoteza mwelekeo wa maisha lakini inapotokea aliyekuacha umekubaliana na matokeo unaendelea na shughuli zako kama kawaida huna muda wa kumsumbua wala kumbembeleza upande wake inakuwa kama ni tatizo hivyo huanza vitu vya maneno chuki n.k

Ni kwanini hii hali huwa inajitokeza mazungumza hivi from my experience.
 
Hata wewe ukimchapa bakora mtu matarajio yako alie, asipolia unaweza kulia wewe.
 
...huyo mtu mwenye hyo tabia either mchawi or mnafiki

Baadhi ya wanawake ndo wenye hii tabia...
 
Mtu anaekufanyia visa ili muachane mpka anakuacha moyoni mwake huwa anatarajia kuona ukiteseka na maisha ili apate cha kuongea mbele ya watu wake

Hivyo akiona tangu mmeachana unaendelea vizuli na maisha yako una furaha kwake huwa ni shida ndo maana wengi huomba mrudiane ili kuficha aibu
 
Mimi sijawahi kuwa na moyo huo, na hata huwa naumia sana na kupatwa na huzuni pindi nikimuona nilie mucha akiteseka.
 
Sanaaa tuuu,hili lishanitokea two times na anakuja kuomba msamaha mwnyew,Iko iv yy huwa anakosea nikimwambia kosa lake bas maneno kibao mara cjui uniamini,basi naishia kumuomba msamaha,hapo ataweka ngumu kwamba acha tu break,naweka ngumu hakuna mawasiliano kama mwez iv,hapo nitakuwa napost pic nko na rafik zangu tuna enjoy moments,haiish week utaona msg "P sure nmeshindwa kuendelea na hii hali,nisamehe" so mm huwa c mwnye iyanaa namsamehe kiroho safi,ilq nilichogundua kuna utoto unamsumbua pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom